Ndugu wadau,
Kwa miaka mingi sasa sekta ya AZISE (NGOs) inazidi kukua. Lakini fursa za ufadhili kutoka nchi zilizoendelea zinazidi kupungua. Umaskini miongoni mwa wananchi bado ni mkubwa, huku haki za binadamu, utawala bora na ulinzi wa mazingira bado ni kitendawili.
Tunapoandika katiba Mpya, tunatakiwa kutambua Umuhimu wa NGOs kwa maendeleo ya watanzania kwa kuanzisha Mfuko wa AZISE Tanzania utakaofanya kazi ya kutoa ruzuku kwa NGOs ili kusaidia serikali kuleta maendeleo ya watu. Hili si jambo geni, nchi zilizoendelea zinayo mifuko hiyo hata Uganda wanao mfuko huo. Naomba wabunge wote wanaosoma JF waingize kipengele hiki kwenye katiba mpya!
Wadau wa maendeleo mna maoni gani??