Muulize Mh. Kange Lugola Kama ana amani au utulivu, jk ana amani au utulivu, waliotumbuliwa hadharani Wana amani au utulivu, waliovunjiwa nyumba zao bila kulipwa kupisha barabara Wana amani au utulivu, ambao hawajaongezwa mishahara yao kwa muda mrefu Wana amani au utulivu.