Kama sisi ni nchi moja kwanini tunaweka sheria za kibaguzi. Tuka uhuru sasa Zanzibar kuna wabara na bara kuna wanzanzibari sasa kuna sababu gani ya kulazimisha mgombea Uraisi kuchagua mgombea mwenza kutoka upande fulani!.
Je ina maana bado tuna ubaguzi wa Muungano mpaka leo. Je sio wakati wa Raisi mgombea kuchagua ampendae badala na apimwe kwa mafanikio ya sera na sio vigezi vilivyopitwa na wakati. Kuna mabadiliko mengi lakini hatuna sababu ya msingi baada ya miaka 60 kuwa na hili.
Lingine watendaji mawaziri wasilazimishe kuwa wabunge. Kuna wafanyakazi wazuri sana ambao hawataki kuwa wabunge. Hii pia imepitwa na wakati achaguliwe mtu mwenye uwezo na apitishwe na kamati za bunge husika lakini asiwe lazima kuwa mbunge.
Hii inasababisha kupata mawaziri wenye viwango vya chini sana na haina manufaa yeyote kwa nchi