Ni ujinga uliopitwa na wakati. Umewahi kuona Wazanzibari wanasajiri chama tangu muanze kusajiri vyama?
Wao wanafutwa tu kama wanawake.
Swala la msingi ni mgombea huru tu, vyama sio lazima, unaweza kugombea ukashinda ukaunda serikali bila kuwa na chama.