Katiba mpya iweke kipengele cha uhuru wa raia kujilinda wenyewe pia kwa silaha za kisasa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Matukio mengi ya utekaji yangeweza kudhibitiwa kama raia wengi wengekuwa wanamiliki bunduki au bastola za kujilinda, wangeweza kupambana na watekaji ambao mara zote huwa wengi na wenye silaha, tunaweza kukumbuka mfano mfanyabiashara Zakaria wa Mara alivyopambana na watekaji kwa bastola akaponea chupuchupu kutekwa.

Ni vyema kikawepo kipengele katika katiba mpya kinachoruhusu raia kumiliki bunduki kujilinda wenyewe pale itakopibidi kufanya hivyo. Tuondoe huu urasimu wa sasa ambapo ni watu wachache tu matajiri na wanasiasa ndio wanaruhusia kujilinda wenyewe kwa kujihami tena kwa vibastola vidogo ambavyo kupata ni mchakato mrefu. Tumeshajionea jinsi hata wasio matajiri au wanasiasa watawala wanavyokabiliwa na vitisho vibaya vya usalama wao.
 
Kwa akili la wavuta bangi na wacheza kamali wa bongo tutachinjana sisi kwa sisi sema tupate bunge na mahakama huru za kuwafunga watekaji mdhamini wao itakuwa imeisha hiyo
 
Kumiliki silaha ni suala la nature
Mwanaume hipaswi kukosa silaha
Kama una uchumi Fanya umiliki chuma cha moto.
Dunia haikuhurumii, usalama wako unaanza na wewe
 
Kuna taarifa nimepata kutoka handeni watu wenye silaha wamevamia kijiji cha kwamkunga usiku nakuondoka na watu kumi.yalikuwa magari 4 wanadaiwa ni polisi.wanavunja mlango nakuingia ndani wanatafuta silaha.diwani analifuatilia kwa sasa
 
Matukio mengi ya utekaji yangeweza kudhibitiwa kama raia wengi wengekuwa wanamiliki bunduki au bastola za kujilinda, wangeweza kupambana na watekaji ambao mara zote huwa wengi na wenye silaha, tunaweza kukumbuka mfano mfanyabiashara Zakaria wa Mara alivyopambana na watekaji kwa bastola akaponea chupuchupu kutekwa.

Ni vyema kikawepo kipengele katika katiba mpya kinachoruhusu raia kumiliki bunduki kujilinda wenyewe pale itakopibidi kufanya hivyo. Tuondoe huu urasimu wa sasa ambapo ni watu wachache tu matajiri na wanasiasa ndio wanaruhusia kujilinda wenyewe kwa kujihami tena kwa vibastola vidogo ambavyo kupata ni mchakato mrefu. Tumeshajionea jinsi hata wasio matajiri au wanasiasa watawala wanavyokabiliwa na vitisho vibaya vya usalama wao.
Mitano tena kwa Zakaria.
 
Sheria inaruhusu mwananchi kumiliki bastora ila sasa kuipata ndio shughuli maana mchakato ni mrefu pia gharama yake kubwa. Kitu kingine kwa mental health ya wabongo waliowengi sidhani kama ni sahihi bastora kusambazwa mtaani kwa wingi. Tukomae tu kuwaondoa wahuni then tutengeneze vyombo vya usalama vyenye weledi
 
Back
Top Bottom