Katiba Mpya: Kulikoni Makamanda na ndugu Wananchi Kusita Sita?

Kuna hizi TAASISI hizi.....

Ukizifuatilia utajua kipi huwa kipo....
 
Watanzania wana akili sana......

Wanaangalia SUDAN kila uchao ni mbilinge na WALIOPATA VILEMA ndio hivyo tena.....

Wanaangalia ETHIOPIA.....ukanda/ukabila/umimi/...machafuko na vita kule Tigray...sasa "vichwa moto" wanaelekea ADDIS ABABA(makao makuu ya Afrika).....

Hapa ukumbuke kuwa WANASIASA BANAAA.....yaani hapa leo MAADUI WA ZAMANI WAMEKUWA MASWAHIBA....kambi ya malofa walio wengi(OROMIA) imeungana na mabwana wa nchi kihistoria(TPLF) kumshambulia NDUGU WA WAOROMIA(Abiy Ahmed) aliyeonekana anataka MSAWAZISHO WA NCHI.....🤣🤣

Kichapo kitakapotembea watakaoathirika ni WAZEE ,WATOTO ,AKINA MAMA ,WALEMAVU n.k


Hizi hoja za kutaka "machafuko" ndiyo yawe MBELEKO ya kufikia MATAKWA YA KISIASA huwa zina AJENDA MBOVU NYUMA YAKE......


SIEMPRE JMT
 
iyo amani unayohubiri ukiwa na njaa/umasikini inasaidia nini?
😳😳😳🤣🤣🤣

Hata walemavu huutafuta mkate wao vile walivyo......

Acha kufuru wewe....unaongelea njaa ambayo ni maumbile tuliyoumbiwa na Mungu na ambayo hutujia kila baada ya masaa?!!!

Riziki atoaye Mungu....tufanye kazi tulitafute tonge....ama unataka ujifananishe na nani KIKIPATO?!!! 🤣🤣🤣

SIEMPRE JMT
NCHI KWANZA
AMANI KWANZA
 

Correction: US hakuna “umasikini wa kutupwa” (abject poverty) kama unaoonekana kwenye nchi nyingi za dunia ya tatu.

Umasikini uliopo kule ni kwa vigezo vya mlinganisho (relative poverty) kati ya matabaka na kupungua kwa uwezo wa baadhi ya makundi ya watu wa kumudu huduma za jamii. Hata hao, maisha yao yanaonekana bora zaidi kulinganisha na wengi huku kwetu.
 

Hahhaha masikini ni masikini tu ndugu... acha kushupalia vya watu. Angalia hi report ya DW ikielezea umasikini wa marekani


Acha kuishi kwenye ombwe la fikra mgando. Dunia ni kijiji. Ndo maana nkakushauri fanya kazi kwa juhudi uikombie nchi, achana na wanasiasa wanaofaidisha matumbo yao kupitia mgongo wako. Si umesikia daraja la salenda ni mwendo wa tozo... hahahhaha #TulipeTOZO Tuijenge nchi yetu Tanzania 🇹🇿♥
 
Mwisho wa siku, hao wanasiasa watakaa meza moja kugawana madaraka. Story inaishia hapo. Vijana tufanye kazi kwakweli....
 
👊😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…