Kupigania katiba mpya Tanzania ni wajibu wetu na hasa wote tulio na akili timamu.
Tutake nini kwa Mungu kama katiba mpya itatuhakikishia uwepo wa usawa, haki, uhuru na utawala wa demokrasia? Mambo mema kabisa kwetu, watoto wetu na hata watoto wa wajukuu zetu.
Mapambano haya yaliyoendelezwa na Mwalimu Nyerere (rip) yataendelea na hayupo mwenye kuyazuia kwa maslahi yake binafsi.
Apumzike kwa amani Kapteni Komba.
Tukumbushane uzalendo tunapo tafakari tulipo na tuendako, tayari kuikabili wiki nyingine ya mapambano zaidi dhidi ya adui.
Apumzike kwa amani brigedia Chefe Ali (rip).
Barikiweni sana Tarime hata makwetu Makongolosi hali ni hiyo hiyo.
Ama kwa hakika udhwalimu utashindwa.
Aluta Continua!