Katiba Mpya: Mimi ni CHADEMA lakini kwa hili nasema NO, tena Big No

Huwezi kuwa chadema wewe mpumbavu na dhuluma ya uchaguzi wa Mwaka Jana ukiongea mambo ya ki mat*ko hapa wakati watu wameumia! Sitaki kukutukana!

Kaa huko CCM na akili za kipumbabu!

Nakusamehe.
 

Sina tatizo na hii akili yako maana ndio upeo wako ulipoishia. Chaguzi zote hizo ulizotaja cdm na vyama vingine walienda mahakamani kwenye baadhi ya majimbo, je safiri hii walienda? Na kama ni ruzuku hata sasa ipo lakini hawaitaki na sababu ziko wazi. Hata hivyo bado kilio kikubwa cha miaka yote hiyo ni tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Na sasa katiba hiyo inadaiwa na nguvu zote ili kusiwe na kisingizio chochote. Una jingine?
 
Mwaka 2010 na 2015 uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Walioshindwa walishauriwa waende mahakamani, lakini walioshinda Mbowe na genge lake wao walikuwa wanaendelea na vikao vya bunge kama kawa na kutafuna ruzuku kila mwezi . Mwaka 2020 uchaguzi haukuwa huru na wa haki lakini cha kushangaza alieshinda kaambiwa asiende kushiriki vikao vya bunge kama walivyokuwa wanashiriki kina Mbowe katika chaguzi za nyuma ambazo pia walisema sio huru na za haki, pia walioshindwa wamejifanya kukata kwenda mahakamani kama walivyowashauri wenzao waende. Swali langu ni kwanini Mbowe na genge lake wakishinda uchaguzi ambao wanaona sio huru na wa haki wanaingia na kushiriki vikao vya bunge kwa miaka yote 10, lakini mwaka huu wao wameshindwa afu wanamtaka mbunge alieshinda asiende kushiriki vikao vya bunge? Je Mbowe ameamua kuchukua uamuzi huu mwaka huu baada ya yeye mwenyewe kuangukia pua? Kama sio hivyo ni kwanini mgomo huu hawakuufanya miaka 10 iliyopita baada ya kuona kwamba walishinda katika chaguzi ambazo sio za huru na haki?
 

Nakwambia akili yako ni ndogo kweli kweli. Ni mbunge gani aliyeshinda wa Cdm amezuiwa kushiriki vikao?
 
Nakwambia akili yako ni ndogo kweli kweli. Ni mbunge gani aliyeshinda wa Cdm amezuiwa kushiriki vikao?
Kama haumjui mbunge wa chadema alieshinda uchaguzi mkuu mwaka 2020, basi ww sio mfuatiliaji wa mambo ya siasa.
 
Kama haumjui mbunge wa chadema alieshinda uchaguzi mkuu mwaka 2020, basi ww sio mfuatiliaji wa mambo ya siasa.
Narudia tena, huyo mbunge aliyeshinda alizuiliwa kuingia bungeni? Nakushauri rudi kwa anayekumezesha maneno, umuulize vizuri kuhusu huyo mbunge mmoja.
 
Narudia tena, huyo mbunge aliyeshinda alizuiliwa kuingia bungeni? Nakushauri rudi kwa anayekumezesha maneno, umuulize vizuri kuhusu huyo mbunge mmoja.
Naona unajaribu kuukwepa ukweli.. Haya turudi katika sababu zilizosababisha mwaka 2010 na 2015 Mbowe akubali kuingia bungeni na wabunge wake wa viti maalumu kwa takribani miaka 10 kupitia tume ambayo sio huru na uchaguzi usio wa haki, lakini mwaka 2020 baada ya yeye kushindwa na genge lake basi haoni sababu ya wabunge wa viti maalum kuingia bungeni kushiriki vikao vya bunge huu sio ubinafsi?
 

Sioni kama una jipya, umesema sijui hawana ruzuku nimekwambia ruzuku ipo ila hawaitaki. Umesema wanawazuia wabunge waliochaguliwa, nimekwambia mbunge wa kuchaguliwa ni mmoja, na hajazuiwa. Chaguzi zote za nyuma walikuwa wanasema sio za haki, ila walienda mahakamani wangalau, ila safari hii hata mahakamani hawakwenda kutokana na kilichoendelea. Je unataka miaka yote wabaki wanalalamika bila kuchukua hatua stahiki ili kuondokana na dhuluma Hizo?

Hilo suala la viti maalum unajua likoje? Kwanza cdm hawakupeleka majina ya hao wabunge, kwani hawautambui mchakato mzima na uhalali wake. Na ushahidi ni kugomea hata ruzuku yenyewe. Je hiyo miaka yote waligomea hiyo ruzuku? Sasa hapo kwenye mjadala wetu nakwepa ukweli gani? Acha kuwa bendera fuata upepo Boss.
 
Dogo ninachojua ni kuwa CDM iko juu Sana ya propaganda za kitoko kama hizo
 
wewe bora ungebaki msomaji milele, maana una uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo.BAKI KUA MSOMAJI TU MKUU UTAJIFUNZA MENGI.
Eti Hawa ndo wametumwa na lumumba kuja kutwist agenda ya katiba mpya

Ccm imekufa kabisa
 
Kiukweli CHADEMA hawana long term strategy, ubabaishaji na kutukanana tu, ukishauri unaishia kutukania tu. Waendelee tu.

Nilichogundua, zimwi lao wanalitengeneza wenyewe na imekuwa mtaji kwa CCM.

Heri shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua. Done
 
Nilichokuja kugundua Hawa watu lugha zao ni matusi tu. Hakuna anayeweza kufikiri hata Jambo kwa undanikidogo na kusema hili ni sahihi.

Namna hii hakuna chama hapo ni kupotezeana muda tu.
 
Kuna uwezekano ukawa na serikali mbili kwenye srikali ya muungano serikali ya mapinduzi ya zanzibar na serikali ya Tanganyika lakini siyo kwenye mfumo wa shrikisho no!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…