Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
[h=1][/h] Written by abdisalum // 25/01/2013 // Habari // 15 Comments
1. Kwanza, napenda hii iwe zawadi mahsus kwa ashak kiongozi
2. Kama mnavyojua msimamo wangu ya suala hili katiba mpya kuwa (zero ground au ground zero), kwa hivyo MIMI SIAMIN KUWA KATIBA MPYA INANIPA GUARANTEE YA KUPATA NCHI YANGU/YETU YA ZANZIBAR. SIAMIN ASLAN ABADAN.
Haya baada ya bashraf hiyo, tuanze mada yetu.
Kuna kitu au kipengele katika ile bill ya kuanzisha katiba mpya kuwa mwisho wa yoooooote, kuwa na kura ya maoni. Yaani wananchi wataulizwa (sijui swali gani hasa linaulizwa: mtego mwengine huo) na wananchi watasema (YES/or NO).
Methodology ya kufanya kura maoni bado haijajulikana (again, another big question, and doubt).
Lakini kwa uhakika ninachokijua, na hili ndio msingi wa mazungumzo yangu ya leo ni kuwa kura ya maoni itakuwa ya jumla jumla; yaani kama kura ya kumpata rais wa jamhuri wa muungano wa TZ; na sio kama vile mnavyofikiria nyie wengi humu mzalendo kuwa itakuwa Zanzibar mbali na Tanganyika mbali, then, tutaangaliwa wingi wetu wa kura. Yaani wapiga wa Zanzibar ni, tuseme 500,000; na asilimia 66% tumesema YES, hatuutaki Muungano. Hapo tukubaliwe. haiwi hivyo.
Itaangaliwa Watanzania wote wamesema asilimia ngapi wanautaka Muungano, na wangapi hawautaki (sote tunatiwa kapu moja); na National ID department inatakiwa iharakishe kzai ili watu wote tupige kura kama WAMOJA, not Zanzibar/Tanganyika mbali
Chengine, ambacho ni muhimu kuzingatia: ni kuwa bunge la Tanganyika /Bara hawana kipengele ndani ya katiba yao (hiyo inayoitwa ya jamhuri ya 1977) inayosema maamuzi yafanywe kwa kupiga kura ya maoni. Sasa watafanya vipi, na kura itapigwa vipi? another big question bwana Ashak Kiongozi na mzalendo team!
Good luck/thing: zanzibar tunayo hii, mabadiliko ya 10 ya katiba ya zanzibar inaruhusu mambo yetu tuamue kwa kura ya maoni. Bara hawana. Tuseme walipopitisha bill hii ya kufanya katiba mpya hawakujua? au makusudi, au tuseme bunge litakaa kabla ili wapitishe kipengele (bill) hiyo. Sifikiri, kwa namna ninavyowajua jamaa hawa, si watu wenye maadil hayo ya kisheria au human concious kama hizo.
Hapa namuomba Abubakar Khamis Bakar, AG Othman Masosud watupe mwanga mapema, na hili ni muhimu kwao, ni mtego wa kukamata panya wote kwa pamoja, tutakuwa kama sehewa tunanaswa kwa pamoja.
I am serious about this kwa sababu nilipiga kelele kuhusu ile bill haukupelekwa BLW, baada ya vita na kusuguana at last, ililetwa kama taarifa. Upuuzi kama huo, dharau kama hiyo; kweli ndio sawa hivyo jamani.
Hili ninawatanabahisha mapema my learned friends abubakar, othman, na timu yako ya AG, n.k mjue kuwa mna jukumu ndani ya nafsi kuhusu nchi hii. Sisi walalamikaji tu, nyie mna sauti.
Whatever outcome: mkataba, serikali MOJA, tatu, nne, tano au kumi the bottomline: kura ya maoni:
Key points:
1. Bunge la Jamhuri hawana kifungu hichi, watafanya vipi?
2. Kura hii itapigwa jumla jumla, sote watanzania tutaamua kuhusu jambo moja, na sio Zanzibar as a block, na maamuzi yasikilizwe.
Mjue kuwa sensa ya 2012, Tanganyikans sasa wapo kama 50m people; zile hesabu za national bureau of statistics ni ajuar tu.
Awali, nilisema zawadi hii ni ya sahib yangu ashak kiongozi kwa maana yeye hupenda kutia shaka mada zangu na kwa sababu vile siamini kitu mbele ya CCM na SMZ, na SMT na GNU yake: kweli niko hivyo, lakini mengi niliyosema, takriban nimekwenda sawa. OK, binadamu ninaweza kuteleza au not 100%, but I got 90% right.
Kama tuna nia thabit ya kuidai nchi yetu tuanze sasa kujitayarisha na hili, na tutumie strategy tofauti ili ku-counter hili.
Bwana Ashak wewe ni mtu wa IT nafikiri, almost, mathematics ndio maji yako ya kunywa. Sasa nadhani umesoma zile hesabu za probability na calculus hebu pekua vitabu vyako vya zamani, then, do your own math what if kama Zanzibaris tunasema NO kwa asilimia 66% kwa muungano, but final tally upande wa bara/tanganyika utasema YES kwa asilimia zaidi ya 50% pro union, au what do you think, the answer would be: .(political answer, sio mathematical answer ..); and what if CRC (tume ya katiba itasema ..pamoja ya kuwa tumeyasikia maoni ya wengi wazanzibari wamesema wanataka muungano wa mkataba, lakini katika kuunusuru umoja wa watanzania, na kuuenzi muungano ulioasisiwa na Mzee wetu Karume na Nyerere, tume imeonelea bora muungano ubaki hivi hivi, kama tulivyo, hasa kwa kuzingatia kuwa baadhi ya wanasiasa wakongwe nchini wametaka tubaki kama tulivyo .n.k n.k Hili linawezekana kabisa. Kwa kipande hichi, ama kwengineko nina hakika katiba itabadilika katika mambo ya kilimo, ufugaji, elimu (kama alivyosema Lowassa); key part ya katiba mpya: ni muungano sifikiri kama hili litabadilishwa. I bet?
Unajua ashak kiongozi: kuna mambo mengi yameshafanyiwa uamuzi lakini hakuna utekelezaji wa serikali zote mbili
i. double taxation ulipaji kodi mara mbili baina ya bara/zanzibar hili limekuwa resolved long time ago (na bado halitekelezwi, na mwisho wa habari akina mohammed aboud keeps talking about it as if hakuna minutes/record za mikutano)
ii. Mafuta na gesi asilia resolved, lakini mpaka leo bara hawataki kulitoa katika list ya mambo ya muungano.
Katika mazingira kama hayo, ndio unanikuta siamini hata mtu mmoja viongozi hawana good will, committment, sio wakweli, na kosa liko kwa wananchi wenyewe.
Angalia PAC za BLW pamoja na uchale wao, at least wanaibua scandals kama za ZECO na ZRB na kwengineko (sorry hizi ni spices tu zinakoleza mada ya hapo juu, but mada ya juu naomba isomeke independent, msije kuniambia kuwa ninachanganya mambo, OK). Nakutakieni usomaji mwema na michango mizuri academic argument sawa