Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
Mwalimu Gaijin utanifanya nifute mipango yangu ya kwenda kuongeza ujuzi ujue!!!!:madgrin:
hahaha usitaharuk' mkuu................wee unataka tufanye mingapi? majadiliano bado yanaruhusiwa :teeth:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu Gaijin utanifanya nifute mipango yangu ya kwenda kuongeza ujuzi ujue!!!!:madgrin:
hahaha usitaharuk' mkuu................wee unataka tufanye mingapi? majadiliano bado yanaruhusiwa :teeth:
Huo muda unaweza kubaki...ila definition ya separation iwe wazi...kwamba safari ambazo hazihusu kutengana (kikazi. kimasomo nk) sio separation...
mtu atakwambia alipata kazi Tandale na mkewe anakaa Kitunda ikabidi asionane nae kwa miaka miwili 😛
Wewe nenda safari............ukirudi tutakufungisha ndoa upya ....teh teh teh
Hahaaaaa....you made a saturday kwangu.....nasepa...muda wa ulabu huu!