makinikia 101
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 491
- 876
- Thread starter
- #21
Ashaonja joto ya ICC hawez kurudia makosaNi Uhuru pekee anaheshimu sheria za nchi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashaonja joto ya ICC hawez kurudia makosaNi Uhuru pekee anaheshimu sheria za nchi yake.
Ashaonja joto ya ICC hawez kurudia makosa
Uchaguzi wa 2020 tunataka katiba ya Warioba....! Ama sivyo hatutaki uchaguzi!!! Atawale milele kwa katiba mfu..........ya sasa hatutakiii
Well said, sasa kwa hii majority vote ya wabunge wa bunge la katiba ambao wana misimamo ya kivyama, nachelea kusema kwamba hii itabak kuwa ndoto na walio madarakani wapo favoured zaid na katiba yasasa na hakuna anayetaka kubanwa akiwa madarakaniKwanini hii yasasa
- haitendewi haki
-Haifuatwi
-Haitekelezwi
-Haiheshimiwi
Sababu ni chache za msingi nandio root cause ya kudai katiba mpya kuondo mapungufu ndani yake
1. Rais kuteuwa Majaji hususani Jaji mkuu.....huyu hawezi kupingana na aliyemteuwa isipokuwa kulipa fadhila
Jaji na mwanasheria mkuu waombe kazi hiyo nawafanyiwe usaili ili waweze kujitegemea 100%
2. Rais kuwa nakinga yakutoshitakiwa..... Ifutwe hii kinga wataheshimu nakuitii katiba
Kinga hii inawafanya marais wetu kuwa naviburi dharau na majivuno ndio maana hawaifuati wala kuitekeleza katiba yetu imefikia wanatita wapumbafu na malofa......mwite wewe uone unavoteswa ila yeye aaah Mungu mtu analindwa nakatiba.
3. Rais kufanya teuzi zote kubwa kiasi kwamba wateule siku zote hawawezi kupingana na aliewapa ulaji
- Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
- Msajiri wa vyama vya siasa
- Waziri mkuu
- Mawaziri nk
4. Rais kufanya teuzi za makada kulinda na kukiwezesha chama chake
- Wakuu wa mikoa
- Wakuu wa wilaya nk
Kiujumla katiba haitekelezwi kwasababu anayeisimamia hana kinachomtisha kwamba akiivunja ipo siku atashughulikiwa ndio maana ya madudu kila mahala.....mzizi uliojichimbia zaidi kuliko mingine hakuna wakuugusa hata katiba yenyeywe imeulinda mzizi huu hatakama ukifanyacho nikuivunja katiba hiyohiyo.
Kimsingi moja ya udhaifu mkubwa wa katiba yasasa, ni kumpa nguvu kubwa sana mkulu hata juu ya mihimili mingine ya dola. Katiba inasema siasa ziendelee yeye anapiga stop na hakuna wa kumhoji. Wenzetu sio tu kwmba bunge linakua live, imefika hata mahakama ziko live. Yeye kazima bunge anataka yeye tu ndo awe live hata akiwa ziara za kushtukizaKatiba ni muhimu kwa sababu itasema Mission, na Vission of our Nation so mtu atakayetuongoza kutoka chama chochote atafuata Dira ya taifa na atupeleke kule tunapofikiri kwenda kama taifa na sio katiba hii kila mtu anaamua atakalo mara huyu kilimo kwanza mara yule viwanda atakuja mwingine na yake pia. So ni vema kutengeneza katiba itakayotusaidia sisi( wanyonge wa kunyongwa) wenye hii nchi.
Wanasiasa jitahdn kufanya mikutano yenu ya ndani achen watu wafanye kazi , tunataka tufanye kazi tusonge mbele uo upumbavu wenu hatutakiKumekua na maoni mengi sana kuhusu suala la katiba mpya Tanzania. Suala hili lilipigiwa sana kelele na wananchi pamoja na wanasiasa hadi pale JK alipoanzisha mchakato huo ambao pia uliishia njiani, oopss.
Nionavyo mimi, Tanzania hatuna tatizo la katiba mpya, tunalo hitaji la msingi la kupata viongozi wanaoheshimu na kufuata viapo vyao vya kuilinda katiba. Kama hii tu iliyopo haifuatwi na viongozi wetu (km kufungia mikutano ya kisiasa, mahakama bunge na serikali kuwa mihimili tofauti, nk), hata ikija mpya kiasi gani na tukakosa viongozi wenye kuiheshimu, bado tatizo litakua palepale
Wanasiasa jitahdn kufanya mikutano yenu ya ndani achen watu wafanye kazi , tunataka tufanye kazi tusonge mbele uo upumbavu wenu hatutaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona povu la Lumumba linakutiririka, umepewa kidole tu unataka kula mkono mzima?Wanasiasa jitahdn kufanya mikutano yenu ya ndani achen watu wafanye kazi , tunataka tufanye kazi tusonge mbele uo upumbavu wenu hatutaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote wapumbavu tu , kusanyaneni wenyewe kweny mikutano yenu ya ndani tuachen ss tufanye kazi , hatataki fujo zenu . Mnataka kila kitu kisimame kwa kusikiliza upuuzi wenu kila sikuMpumbavu nani? Huyo anayezurura kona zote nchini.......utapimwa mkojo sasa hivi umuheshimu mjinga wewe......atahamishia pushapu kwako.
Wote wapumbavu tu , kusanyaneni wenyewe kweny mikutano yenu ya ndani tuachen ss tufanye kazi , hatataki fujo zenu . Mnataka kila kitu kisimame kwa kusikiliza upuuzi wenu kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesahau akifa sheikh kazi ya Mungu, akifa mlevi sababu ni pombe?Au huelewi anayetembea kufanya siasa na makada wa ccm ni mheshimewa rais..
Wewe kweli mjinga unamtukana mkuu....jifunze adabu
Rais anaruhusiwa kufanya shughuli za kiserikali sio siasa.Au huelewi anayetembea kufanya siasa na makada wa ccm ni mheshimewa rais..
Wewe kweli mjinga unamtukana mkuu....jifunze adabu
...Hujui unachoongea.Katiba mpya sio suluhisho,Kenya na katiba yao watu wameiba kura