Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
Katiba inayopendekezwa ndio msingi wa maendeleo endelevu katika taifa letu,tuiunge mkono kwa kuisoma nA kuielewa ili hatimaye tufanye uamuzi sahihi
Tuungane wote wakati ukifika kulingana na utaratibu utakaotolewa na NEC.