Kila jambo (safari) huanza kwa hatua moja kisha nyingine.
Kwanza tuipate katiba mpya ambayo itatupelekea kubadili mifumo yetu mibovu kuanzia vyama vya siasa mpaka kwenye mihimili muhimu kama urais, mahakama na bunge.
Kisha tutaendelea na safari mdogo mdogo. Huwezi kusema chama kibadilike au mhimili ubadilike wakati katiba bado iko upande wake.