Wabunge ni watumishi wa umma hawawezi kujifanyia watakavyo hili vuguvugu la kutaka mabadiliko lipo nje ya uwezo wao.......akina Mkono ni mafisadi wakubwa .......kumbuka EPA na miradi yake pale BOT ambapo amekuwa akilipwa legal fees nje ya sheria zilizopo na hakuna wakumchukulia hatua............sana sana anatetea ulaji wake tu...........................Ninachouliza wana JF, kama wazo ndio liko hivi kweli hii Katiba ya sasa itaweza kuandikwa upya ukitilia maanani kwamba anaesema hivi ni Mbunge(miongoni wa watakaoamua kama kuna haja ya kuandika upya) na Mwanasheria maarufu hapa nchini?
Nimesoma kwenye Guardian ya leo (pg 3). Mbunge Nimrod anasema hakuna haja ya katiba mpya na kutaka kutengeneza mpya ni sawa na kutaka kupindua nchi. Anaendelea kusema " Rais, Wabunge na Viongozi wa Serikali wameapa Kuiheshimu na kuilinda Katiba na siyo kuibadili. Ninachouliza wana JF, kama wazo ndio liko hivi kweli hii Katiba ya sasa itaweza kuandikwa upya ukitilia maanani kwamba anaesema hivi ni Mbunge(miongoni wa watakaoamua kama kuna haja ya kuandika upya) na Mwanasheria maarufu hapa nchini?
...Kwa hivyo Nimrod anataka kutuingiza darasani kwamba marekebisho ya viraka kwa katiba ni sawa na uchaguzi mkuu??Nimesoma kwenye Guardian ya leo (pg 3). Mbunge Nimrod anasema hakuna haja ya katiba mpya na kutaka kutengeneza mpya ni sawa na kutaka kupindua nchi. Anaendelea kusema " Rais, Wabunge na Viongozi wa Serikali wameapa Kuiheshimu na kuilinda Katiba na siyo kuibadili. Ninachouliza wana JF, kama wazo ndio liko hivi kweli hii Katiba ya sasa itaweza kuandikwa upya ukitilia maanani kwamba anaesema hivi ni Mbunge(miongoni wa watakaoamua kama kuna haja ya kuandika upya) na Mwanasheria maarufu hapa nchini?
................ Bahati mbaya najiheshimu ningemtukana matusi huyu bwana!
Nimesoma kwenye Guardian ya leo (pg 3). Mbunge Nimrod anasema hakuna haja ya katiba mpya na kutaka kutengeneza mpya ni sawa na kutaka kupindua nchi. Anaendelea kusema " Rais, Wabunge na Viongozi wa Serikali wameapa Kuiheshimu na kuilinda Katiba na siyo kuibadili. Ninachouliza wana JF, kama wazo ndio liko hivi kweli hii Katiba ya sasa itaweza kuandikwa upya ukitilia maanani kwamba anaesema hivi ni Mbunge(miongoni wa watakaoamua kama kuna haja ya kuandika upya) na Mwanasheria maarufu hapa nchini?
Dah, aisee huyu Nyerere alifaa kuwa candindate wa PhD ya heshima hata kama amekufa! Alikuwa anaona mbali sana. Yaani wale aliowakataa ndio wengi wao wanatuharibia nchi!haya Huyo ni Nimrod Mkono aliyepigwa Exile U.K na Mwalimu ... sasa anatesa
pamoja na kua fasadi huyu jamaa atakua na matatizo ya akili kama kweli katamka hayo maneno hadharani