Katiba Mpya: Rais akifanya kosa la jinai ofisini ashitakiwe, Trump ni mfano mzuri

Katiba Mpya: Rais akifanya kosa la jinai ofisini ashitakiwe, Trump ni mfano mzuri

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka za serikali kijinai) , Trump inawezekan akashitakiwa mahakamani.

Nchi yetu Tanzania vivyo. Katika lazima iwabane wananchi wote dhidi ya jinai. Kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atatenda vitu vinavyoashiria kuwa ni makosa ya jinai, na achunguzwe na ashitakiwe.

Awamu iliyopita tumeona viashiria vingi tu vya matumizi maaya ya madaraka, wizi na hata watu kupotea bila meezao yanayoeleweka.
 
Back
Top Bottom