CCM WAMELIWA
Member
- May 17, 2026
- 53
- 27
Tanzaniaaaa
kazi na katiba zinaingilianaje mkuuKatiba kubadilika ni la Nchi kwa hiyo hata kazi itabidi zisimame ili Katiba unayotaka wewe iwe active.Sio jambo rahisi kama linavyochochewa.Kuchochea Wananchi watake Katiba mpya ni mambo huvunja Amani.Bila kufuata taratibu ni lazima iwe kinyume na sheria.
kwani katiba iliyopo saiv waliiandaa taifa zima kipindi hicho sio lazma kila mutu ashiriki leo hii wapo hata wanaosema katiba ibadilishe ukimuulza unataka iweje hawezi kukujibu unategemea ashiliki kwenye kutunga katiba nchi ina viongozi na mchango wa raia utahitajika lakn haiwez kuathiri muzunguko wa wa maishaKwa utulivu na ili maoni yako uhakikishe kama Mwananchi anayechochewa kutaka mabadiliko ya Katiba ya Nchi yanachukuliwa na kufanyiwa kazi utafanya jambo hili ukiwa kwenye mihangaiko yako ndugu,itawezekana kweli au unataka watu wakuandalie tu Katiba?
wap nimesemea kupiga kuraHiyo ni Katiba tunazungumzia sio kupiga kura ujue?
may be zitoe process za katiba mpya kama unaulelewaSio kama Uchaguzi Mkuu I mean jinsi mchakato wake ulivyo.