Katiba mpya sio mabadiliko ya mzunguko wa pesa na wizi utakuwepo tu

Katiba iriyo bora itaifanya nchi kuachana na naadhi ya mambo ya hovyo mfano utekaji na wizi wa kura mambo haya yanatokea kutokana na katiba yetu inamulinda mtawala
 
kazi na katiba zinaingilianaje mkuu
 
Kwa utulivu na ili maoni yako uhakikishe kama Mwananchi anayechochewa kutaka mabadiliko ya Katiba ya Nchi yanachukuliwa na kufanyiwa kazi utafanya jambo hili ukiwa kwenye mihangaiko yako ndugu,itawezekana kweli au unataka watu wakuandalie tu Katiba?
kwani katiba iliyopo saiv waliiandaa taifa zima kipindi hicho sio lazma kila mutu ashiriki leo hii wapo hata wanaosema katiba ibadilishe ukimuulza unataka iweje hawezi kukujibu unategemea ashiliki kwenye kutunga katiba nchi ina viongozi na mchango wa raia utahitajika lakn haiwez kuathiri muzunguko wa wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…