Katiba mpya,ukioa/kuolewa hakuna kuachana

TASLIMU

Senior Member
Joined
May 6, 2011
Posts
144
Reaction score
21
dada mmoja akitoa maoni huko Tunduru_Ruvuma(uandikaji wa katiba mpya)anasema anapendekeza katika katiba mpya mtu akioa/kuolewa hakuna kuachana.
chanzo tbc1 habari
 
Ujinga tu, yeye ni nani hata atake kupangia watu namna ya kuishi? Wakipata manyanyaso yasiyovumilika ndani ya hizo ndoa atawasaidia yeye?
 
wangeweka ukifumaniwa akuna kumwacha ningewaheshimu
 
now dayz dhima nzima ya kuoana imekufa watu wanaoana kwa fasheni, ndoa zimejaa migogoro mimi sioni hata haja ya kuoana
 
Dada mmoja akitoa maoni huko Tunduru_Ruvuma(uandikaji wa katiba mpya)anasema anapendekeza katika katiba mpya mtu akioa/kuolewa hakuna kuachana.
chanzo tbc1 habari
 
Ujinga tu, yeye ni nani hata atake kupangia watu namna ya kuishi? Wakipata manyanyaso yasiyovumilika ndani ya hizo ndoa atawasaidia yeye?

Katoa maoni,usiogope
 
Ina maana huu ndio mchango wa maana kabisa ambao wangeweza kuutoa au ilikuwa ni katika comic relief?

Maana unaweza kuongelea katiba na watu ambao hata hawajui katiba ni nini.
 
Ina maana huu ndio mchango wa maana kabisa ambao wangeweza kuutoa au ilikuwa ni katika comic relief?

Maana unaweza kuongelea katiba na watu ambao hata hawajui katiba ni nini.

Mi niliona katika taarifa ya habari jana saa mbili,mdada mmoja akatoa maon hayo,anataka iwe katika katiba mpya
 
labda wanaume wa huko tunduma ruvuma kazi ni kuoa na kuacha ndio mana dada wawatu kaona atumie mda huu wa kubadilisha katiba ili na hilo liweko wakiolewa wasiachwe mazima...............
 
Maana unaweza kuongelea katiba na watu ambao hata hawajui katiba ni nini.
kwani katiba ni nini?

Ujinga tu, yeye ni nani hata atake kupangia watu namna ya kuishi? Wakipata manyanyaso yasiyovumilika ndani ya hizo ndoa atawasaidia yeye?
Kwani kampangia mtu au katoa maoni? Hapa nashindwa kuelewa mjinga ni yupi.

Unaelewa maana ya "kutaka"?
Nani "ametaka"? Yeye amependekeza, wewe ndio umechomeka maneno ya "yeye nani hata atake watu...." Vipi Mkuu?

dada mmoja akitoa maoni huko Tunduru_Ruvuma(uandikaji wa katiba mpya) anasema anapendekeza katika katiba mpya

Kwa hiyo hata wewe unaweza ukapendekeza katiba mpya iseme kila mwisho wa mwezi unaruhusiwa kutathmini mwenendo wa wame zako na kuamua kuwabadilisha ukiona hamuendani. Ruksa kabisa. Lakini ni maoni. Na unajua wanavyosema kuhusu maoni, ni kama masaburi, kila mtu ana yake.
 
Hata mimi alinishangaza sana yule dada.
Kwake ndoa ndio maisha kwake.
 
Ujinga tu, yeye ni nani hata atake kupangia watu namna ya kuishi? Wakipata manyanyaso yasiyovumilika ndani ya hizo ndoa atawasaidia yeye?

Nini maana ya mchakato wa kukusanya maoni ya wananchi ikiwa watu hawatoi maoni yao. Hilo ndilo wazo lake, kama una maoni tofauti na wewe toa ya kwako. Usilazimishe mtu kuwaza unavyotaka wewe vinginevyo demokrasia itatushinda.
 
Sijui watu wengine akili zao
Zinasukumwa na damu au wanzuki. .?
 
kwanini atake iingie kwenye katiba atakuwa anamambo anayofanya hivyo nia yake akifumaniwa kuwe na sheria itakayo mlinda aendezake huko kuachana kuwepo kama kawaida wee vp!!!!!!!!!!!!
 
Nawashangaa wanaombeza huyo dada wakati hayo ni mafundisho ya kanisani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…