Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana huu ndio mchango wa maana kabisa ambao wangeweza kuutoa au ilikuwa ni katika comic relief?
Maana unaweza kuongelea katiba na watu ambao hata hawajui katiba ni nini.
kwani katiba ni nini?Maana unaweza kuongelea katiba na watu ambao hata hawajui katiba ni nini.
Kwani kampangia mtu au katoa maoni? Hapa nashindwa kuelewa mjinga ni yupi.Ujinga tu, yeye ni nani hata atake kupangia watu namna ya kuishi? Wakipata manyanyaso yasiyovumilika ndani ya hizo ndoa atawasaidia yeye?
kwani katiba ni nini?
Kwani kampangia mtu au katoa maoni? Hapa nashindwa kuelewa mjinga ni yupi.
Nani "ametaka"? Yeye amependekeza, wewe ndio umechomeka maneno ya "yeye nani hata atake watu...." Vipi Mkuu?Unaelewa maana ya "kutaka"?
dada mmoja akitoa maoni huko Tunduru_Ruvuma(uandikaji wa katiba mpya) anasema anapendekeza katika katiba mpya
wangeweka ukifumaniwa akuna kumwacha ningewaheshimu
Ujinga tu, yeye ni nani hata atake kupangia watu namna ya kuishi? Wakipata manyanyaso yasiyovumilika ndani ya hizo ndoa atawasaidia yeye?