Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Habari Tanzania!
Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu zifuatazo;
1. Vijana ni wengi sana kuliko idadi kundi rika lolote Tanzania kwa umri tajwa.
2. Wazee kuanzia umri 45+ wapumzishwe wabaki kuwa washauri kwenye mambo yanayohitaji busara tu.
3. Uchama na Umaarufu hautakuwa maana; maana tutaangalia uwezo, ubora, namna unavyolifahamu taifa na mambo ya zingatio.
4. Umri ni kiashiria kizuri cha uwezo, juhudi, maarifa na uwezo wa kuishi kwa haki.
NB
Wazee mkalime na kulea wajukuu . Urais sio sehemu ya kupumzika au kujiegesha baaada ya kulitumikia Taifa.