KATIBA MPYA: Umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30

Kwa hiyo busara sasa zimehamia kwa watoto chini ya miaka 30, wazee 45+ busara zinashuka kwa kasi ya 5G..........au mimi ndo sijaelewa bandugu.
 
Kwahiyo kama ni hii nijiandae mwaka wa uchaguzi ujao kupambana na Samia
 
Naunga mkono hoja with Great Pleasure.

Hivi raisi wa Ufaransa ameingia madarakani akiwa na miaka mingapi.

2035. Nikachukue Fomu ya Urais.
 
hii sio sawa,
 
Kwahiyo kama ni hii nijiandae mwaka wa uchaguzi ujao kupambana na Samia

Ndio upambanie sasa KATIBA MPYA kitengo cha Umri wa Rais.

Hatutaki mzaha na Taifa letu kabisa. Hii nchi inawahitaji wazee sio kwa sana kama zaidi ya vijana.
 
Hapana iwe 60 kwenda juu 30 bado wapo bize na kufungua zipu na chupa za bia
 
Kuwa na PHD sio uwezo wa kufikiri au kuongoza,uongozi ni malezi bora
 
Sio kwa vijana Hawa wa sasa, CCM wamejaa wa hovyo CHADEMA wamejaa wa hovyo mtaani ndio wapo kwenye mitandao kutukana tu.

No aisee.
 
Kwa hiyo busara sasa zimehamia kwa watoto chini ya miaka 30, wazee 45+ busara zinashuka kwa kasi ya 5G..........au mimi ndo sijaelewa bandugu.
Unajua unapoweka utaratibu unapaswa uupime kwa muda, aina na uwezo uutakao.

Tanzania tunahitaji akili safi isio na mambo mengi; yenye nguvu na uharaka kwa kukabiliana na maendeleo tuyatakayo.

Kiukweli Death Rate ya huo Umri wa Rais ni Mkubwa na pia inachochea hasara kwa taifa kwa kutuchukua muda mrefu.

Sasa Umri 45+ hautakiwi kabisa. Yaani haufai kabisa.
 
Ndio upambanie sasa KATIBA MPYA kitengo cha Umri wa Rais.

Hatutaki mzaha na Taifa letu kabisa. Hii nchi inawahitaji wazee sio kwa sana kama zaidi ya vijana.
Kama ni hivyo basi JF mtegemee Rais mwaka wa uchaguzi 2025
 
Sio kwa vijana Hawa wa sasa, CCM wamejaa wa hovyo CHADEMA wamejaa wa hovyo mtaani ndio wapo kwenye mitandao kutukana tu.

No aisee.

Vijana waaminifu wapo, wachapa kazi na wasio na mawaa. Tatizo taifa hili wajinga wachache wameaminisha viongozi bora eti lazima watoke taasisi moja ambayo ni vyama vya siasa. Jiulize kuna taasisi ngapi zenye watu waungwana na welevu.

Juzi Rais kateua vijana ni jambo zuri na sawa; Ila wale vijana wote ni wanasiasa (wanatokea taasisi moja tu ambayo ni vyama vya siasa) hakuna hata mmoja anayetokea makundi maanani hata mmoja, yaani hakuna. Sasa hapo unahisi unapunguza tatizo au unachochea tatizo katika Utawala mzuri?

Tunataka Rais Kijana na KATIBA MPYA full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…