Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Sebastian Kurz (German: [zeˈbasti̯a(ː)n ˈkʊrts]; born 27 August 1986) is an Austrian politician who has served as Chancellor of Austria since January 2020, a position he previously held from December 2017 to May 2019. Kurz has also been chairman of the Austrian People's Party since May 2017.Nitajie taifa lenye demokrasia lililowahi kumpa rais mtoto nchini.
Kindly nitajie mmojaPointi IPI?
Tatizo
Point ipi Kijana?
Tatizo una sample vijana unaowawaza wewe binafsi kwa mtazamo wa taifa huko ni kujidanganya. Ukweli ni huu; wapo vijana smart sana tatizo mfumo huu mbovu tulio nao rafiki.
Si ndio akina Shaka umri wao sasa utafananisha kweli? Au akina Abdul Nondo ndio apewe nchi? Au huyu Mdude ??? It's a big joke mzeeSebastian Kurz (German: [zeˈbasti̯a(ː)n ˈkʊrts]; born 27 August 1986) is an Austrian politician who has served as Chancellor of Austria since January 2020, a position he previously held from December 2017 to May 2019. Kurz has also been chairman of the Austrian People's Party since May 2017.
Acheni utoto.Niliuliza, kwanini British Airways ina crew wazee, haitaki kuvutia wateja kama airline nyingine? Nikaambiwa, wale wanajua unahitaji nini ukiwa safarini.
Juu ya 41 kama katiba inavyosema ni sawa ingawa kwa uhalisia, 50 ni sahihi ingawa si mara zote umri unahusika; Le Mutuz, Kigwa, Profs n.k
Sipatii picha stori za weekend j3Na pia napendekeza Mabalozi wa Taifa letu wateuliwe kuanzia miaka 23 na kuendelea.
Itapendeza Rais kijana, Mawaziri vijana na N .Mabalozi vijana.
Utoto?Acheni utoto.
Ina maana hii nchi kabla ya Nyerere Kambarage Julius kuwa Rais / Waziri Mkuu viongozi waliokuwa machifu au watemi walikuwa wazee wa huo umri?
Hawa wazee wamejitengenezea pension center tu hakuna usahihi au ukweli wowote kuwa Urais umri mkubwa ndio kigezo.
Uzuri nimependekeza KATIBA MPYA itambue umri wa Rais ni kuanzia miaka 30.Utoto?
Machifu/Watemi walichaguliwa na nani? Unazungumzia mfumo upi?
Sasa kama hivi, huweki hoja, unaweka kejeli. Umri unaweza kuchuja haya ingawa si lazima. Msela pia hapewi nchi, sababu za msingi zipo pia.
Uzuri ni kuwa, hutabaki na mawazo hayo hayo miaka michache ijayo Mungu akijaalia uhai na uzima.
Nilikuwa najaribu kutoa justification ya umri wa Hayati JK Nyerere kuanza kuwa Rais manake niiliona kuwa jamaa la Chadema lilikuwa linapotosha kuwa Nyerere alianza kuwa Rais akiwa na miaka 30Au sio Tanganyika ilipata Uhuru ulioandikwa kwenye vitabu 1961; kwa haki na kweli si sahihi mwaka tajwa.