Katiba Mpya: Wagombea binafsi mpo?

Katiba Mpya: Wagombea binafsi mpo?

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Habari Tanzania!

Leo najisikia raha kwa kumkumbuka aliyewahi kuwa mwenyekiti wa DP ndugu, Mtikila. Alipenda sana na kuweka mkazo chanya juu ya kuhitaji uwepo wa watahiniwa binafsi katika ngazi za chaguzi za Kiserikali hususani kupitia siasa. Mfano; Wenyeviti wa vijiji/ Mitaa, Madiwani, Wabunge na Rais.

Unajua uwepo wa wagombea binafsi utaondoa kabisa hizi siasa uchwara za kujuana, undugu, ubabe na ukanda.

"Hakika Katiba Mpya ni suluhisho la umasikini wa nchi".

By Mtoto wa Mjini
 
Back
Top Bottom