Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kinchoitwa katiba mpya au mabadiliko ya katiba yaliyosemwa na CCM itakuwa kama tume ya uchaguzi ya Mwamengele na Kailima waliyoiongezea neno huru tu wakaanza kuiita INEC badala ya NEC kisha wakasema hiyo hiyo ni tume huru.
Itakuwa pia kama tume iliyoundwa leo ya wao wanachoita uchunguzi wa "vurugu" iliyoundwa na waserikali na majaji wa zamani wote walioteuliwa na wenyeviti wa CCM taifa.
Nchi yetu inachezewa na kudhalilishwa sana na CCM.