Katiba (Mpya) ya Kenya, Itawaangusha sana!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Ingawaje watu wengi husifu sana Katiba ya Kenya, lakini mimi nina mawazo tofauti! Ninaamini hii Katiba itawarudisha Wakenya nyuma sana, ukiiangalia vizuri utaona ya kwamba ni Katiba nzuri lakini sio kwa nchi masikini na inayoendelea kama Kenya!

Kenya bado ina changamoto nyingi sana kama zilivyo nchi nyingi za Kiafrika. Kwa mfano nchi nyingi za Kiafrika wala huwezi hata kuziita Taifa (Nation), bado ni makundi mbalimbali ya watu yanayooishi kwenye nchi moja na kila kundi lina maslahi yake binafsi na wala sio ya nchi nzima!

Sasa ili uweze kujenga Taifa jambo ambalo ni muhimu katika ustawi wa nchi yoyote ile Duniani, unahitaji kuwa na rais au kiongozi aliye na madaraka makubwa, madaraka ambayo yatamuwezesha kuchukua maamuzi magumu lakini ya lazima na yasiyopingwa mahali popote kwa manufaa ya nchi yote, lakini hili sasa hivi Kenya haliwezekani tena.

Kwa mfano tangu Uchaguzi uliopita uliomuingiza Uhuru Kenyatta madarakani, ni kama bado nchi iko kwenye uchaguzi, Uhuru Kenyatta wala hapewi muda wa kupanga na kutekeleza sera zake, kila siku maandamano, hakuna uamuzi atakaochukua ambao hautapingwa kwa maandamano.

Kwa mfano sasa hivi nasikia kuna wabunge wanataka kumshitaki rais wa nchi, sasa atafanya kazi saa ngapi? Ni hivi majuzi tu ametoka kumalizia kesi ya ICC, hajakaa sawa sijui Sukari watu wanapinga, mara sijui waalimu na yote haya ni kwa sababu Katiba mpya inaruhusu!

Hivyo kwangu mimi hii Katiba ya Kenya itawasumbua sana huko mbeleni, kwani ni kosa kubwa sana kwa nchi changa kuvunja vunja madaraka ya rais/ kiongozi na ndio maana hata Wazungu walilijua hili, wakati wa Ukoloni Magavana walikuwa na madaraka makubwa sana na ndiyo waliojenga hizi nchi zetu!!
 
Aiseee! Nilidhani watu wa Sampuli yako wanaoendelea kufikiria juu ya inferiority ya Waafrika mmeisha, kumbe bado mpo??,,,, Hatuhitaji viongozi imara, tunahitaji taasisi imara...Taasisi zitakazoweza kusimamia katiba kwa utimilifu wake.. Sio taasisi legelege vunjakatiba kama ya ccm.. Pia jamii hubadilika kutokana na wakati, na kwa sababu maoni yaliyopelekea kutengeneza katiba hiyo ni Wananchi Wa Kenya, basi ni sahihi kabisa kwao kuwa na katiba hiyo.. Otherwise unataka kujenga hoja ya kuendelelea kutetea katiba pandikizwa ya ccm.
 
Tatizo unanukuu viongozi wa Kimarekani bila ya kuwaelewa vizuri! Hizo taasisi imara utazijenga vipi kama hauna Kiongozi Imara na mwenye madaraka makubwa? Unafikiri hizo taasisi unazosikia za Wazungu huko Ulaya zilijengwa na na viongozi wasio kuwa na Madaraka makubwa?

Isitoshe maisha ya binadamu yanafwata hatua na hauwezi kuruka baadhi ya hatua kwa kisingizio cha kwenda na wakati utakwama tu na ndicho Kenya walichokifanya na hili jambo litawagharimu sana siku za usoni,
sasa wanataka kumtoa Kenyata kwa sababu ya Katiba na huyo atakayeingia pia ataondolewa hivyo hivyo sasa kazi ya raisi ya kutekeleza sera itafanyika saa ngapi kama Uchaguzi haushi?
 
Ingawaje watu wengi husifu sana Katiba ya Kenya, lakini mimi nina mawazo tofauti! Ninaamini hii Katiba itawarudisha Wakenya nyuma sana, ukiiangalia vizuri utaona ya kwamba ni Katiba nzuri lakini sio kwa nchi masikini na inayoendelea kama Kenya!

Kenya bado ina changamoto nyingi sana kama zilivyo nchi nyingi za Kiafrika. Kwa mfano nchi nyingi za Kiafrika wala huwezi hata kuziita Taifa (Nation), bado ni makundi mbalimbali ya watu yanayooishi kwenye nchi moja na kila kundi lina maslahi yake binafsi na wala sio ya nchi nzima!

Sasa ili uweze kujenga Taifa jambo ambalo ni muhimu katika ustawi wa nchi yoyote ile Duniani, unahitaji kuwa na rais au kiongozi aliye na madaraka makubwa, madaraka ambayo yatamuwezesha kuchukua maamuzi magumu lakini ya lazima na yasiyopingwa mahali popote kwa manufaa ya nchi yote, lakini hili sasa hivi Kenya haliwezekani tena.

Kwa mfano tangu Uchaguzi uliopita uliomuingiza Uhuru Kenyatta madarakani, ni kama bado nchi iko kwenye uchaguzi, Uhuru Kenyatta wala hapewi muda wa kupanga na kutekeleza sera zake, kila siku maandamano, hakuna uamuzi atakaochukua ambao hautapingwa kwa maandamano.

Kwa mfano sasa hivi nasikia kuna wabunge wanataka kumshitaki rais wa nchi, sasa atafanya kazi saa ngapi? Ni hivi majuzi tu ametoka kumalizia kesi ya ICC, hajakaa sawa sijui Sukari watu wanapinga, mara sijui waalimu na yote haya ni kwa sababu Katiba mpya inaruhusu!

Hivyo kwangu mimi hii Katiba ya Kenya itawasumbua sana huko mbeleni, kwani ni kosa kubwa sana kwa nchi changa kuvunja vunja madaraka ya rais/ kiongozi na ndio maana hata Wazungu walilijua hili, wakati wa Ukoloni Magavana walikuwa na madaraka makubwa sana na ndiyo waliojenga hizi nchi zetu!!

haya ni baadhi ya matokeo ya katiba mpya kupeleka pesa na mamlaka mashinani kwa wananchi kupitia serikali zao za kaunti!!!

BAADA YA MACHAKOS COUNTY SERIKALI ZA KAUTI mbali mbali ZINAJITAHIDI KUINUA SEKTA YA AFYA hATA KAMA BAADHI YA VIONGOZI KATIKA SERIKALI KUU WANAKUPIGA VITA UGATUZI!!!

MOMBASA COUNTY GOVT HOSPITAL

11949269_934125379979142_2923085087634710300_n.jpg

11218833_934091076649239_5824568255083176473_n.jpg

11143345_934091036649243_5064714830846679894_n.jpg

11953272_934091686649178_5483032793362443041_n.jpg

MSTAHIKI GOVANA MOMBASA BWANA ALI HASSAN JOHO
11951132_934091379982542_8732725624716886570_n.jpg

11954769_934091866649160_3134975666132741158_n.jpg

10462456_934089886649358_3974818183572626211_n.jpg

11140024_934090956649251_8715610001577106302_n.jpg

11921890_934090479982632_6071143141746315827_n.jpg

11949337_934091103315903_9104488821194382020_n.jpg

10462584_934091449982535_1949234811307349254_n.jpg

11990673_934090996649247_8865242316312799830_n.jpg

10897846_934090216649325_8692230300179421500_n.jpg

11181568_934090809982599_1627834538127608917_n.jpg

11702776_934125789979101_4230056943427936805_n.jpg

10481728_934123836645963_509790878738761292_n.jpg

11917483_934123896645957_2636357750658646223_n.jpg

machakos county
10537437_467202956762651_6126909706335794953_n.jpg

17662_467203050095975_4592860695761307622_n.jpg

11150498_467203053429308_7529150915875125285_n.jpg

10482554_467203300095950_8273798659657535466_n.jpg

11295720_467203360095944_8614582576915997112_n.jpg

10394869_467203363429277_5208871140448910835_n.jpg

11295711_467203376762609_7132336343286914189_n.jpg

11107731_467203450095935_1834358191111436243_n.jpg

11295663_467202843429329_3001048422635176705_n.jpg

11350408_467205423429071_5003419241742201903_n.jpg

10426635_467205493429064_7858186094144501979_n.jpg

11329871_467205470095733_9035656550682063113_n.jpg

11295731_467205406762406_2675457727634883618_n.jpg

11205595_467205653429048_7808861446302210494_n.jpg

11140200_467205600095720_2680534377111874147_n.jpg

11054864_467205756762371_6887955293770356363_n.jpg

kilifi county

11907218_1625385624379899_8892753808811856420_n.jpg

11896046_1678540122369080_8857427629718424005_n.jpg

11903742_1678540352369057_7509741104670243935_n.jpg

11012525_1109601805736428_361239693756941568_n.jpg

11822794_1109601859069756_3408779351581605475_n.jpg

11822347_1109602025736406_4472143195769430843_n.jpg

11811486_1109602269069715_5901022414417842528_n.jpg

meru county

1470265_1592763050951856_297027668254507531_n.jpg

10455060_1592763210951840_6492762688931742246_n.jpg

AUTOMATED MILK DISPENSERS IN MURANG'A COUNTY.
The Murang'a County Creameries(MCC) has established an automated milk dispensing point in Murang'a Town.Residents now have access to quality and fresh milk at affordable prices.The initiative will be rolled out in other towns.Upon a load up with coins the machine dispenses milk that resonates with the amount topped in.This is one of the approaches that MCC is employing to boost its customer base and fetch more proceeds for the farmers.The CountyGovernment of Murang'a is committed towards supporting Cooperative movement in empowering farmers and other players in the micro enterprises.Have a blessed weekend.

PHOTO FILE (customers being served at the MCC automated milk dispensing point in Murang'a Town)

MCC milk dispensers!

11027127_511341685683530_5030147738619779943_n.jpg

11935073_511341702350195_3977430157167098675_n.jpg

11866402_511341389016893_4157152261290627208_n.jpg

11873416_511341455683553_9110901436029530924_n.jpg

Ingawaje watu wengi husifu sana Katiba ya Kenya, lakini mimi nina mawazo tofauti! Ninaamini hii Katiba itawarudisha Wakenya nyuma sana, ukiiangalia vizuri utaona ya kwamba ni Katiba nzuri lakini sio kwa nchi masikini na inayoendelea kama Kenya!

Kenya bado ina changamoto nyingi sana kama zilivyo nchi nyingi za Kiafrika. Kwa mfano nchi nyingi za Kiafrika wala huwezi hata kuziita Taifa (Nation), bado ni makundi mbalimbali ya watu yanayooishi kwenye nchi moja na kila kundi lina maslahi yake binafsi na wala sio ya nchi nzima!

Sasa ili uweze kujenga Taifa jambo ambalo ni muhimu katika ustawi wa nchi yoyote ile Duniani, unahitaji kuwa na rais au kiongozi aliye na madaraka makubwa, madaraka ambayo yatamuwezesha kuchukua maamuzi magumu lakini ya lazima na yasiyopingwa mahali popote kwa manufaa ya nchi yote, lakini hili sasa hivi Kenya haliwezekani tena.

Kwa mfano tangu Uchaguzi uliopita uliomuingiza Uhuru Kenyatta madarakani, ni kama bado nchi iko kwenye uchaguzi, Uhuru Kenyatta wala hapewi muda wa kupanga na kutekeleza sera zake, kila siku maandamano, hakuna uamuzi atakaochukua ambao hautapingwa kwa maandamano.

Kwa mfano sasa hivi nasikia kuna wabunge wanataka kumshitaki rais wa nchi, sasa atafanya kazi saa ngapi? Ni hivi majuzi tu ametoka kumalizia kesi ya ICC, hajakaa sawa sijui Sukari watu wanapinga, mara sijui waalimu na yote haya ni kwa sababu Katiba mpya inaruhusu!

Hivyo kwangu mimi hii Katiba ya Kenya itawasumbua sana huko mbeleni, kwani ni kosa kubwa sana kwa nchi changa kuvunja vunja madaraka ya rais/ kiongozi na ndio maana hata Wazungu walilijua hili, wakati wa Ukoloni Magavana walikuwa na madaraka makubwa sana na ndiyo waliojenga hizi nchi zetu!!
AUTOMATED MILK DISPENSERS IN MURANG'A COUNTY.
The Murang'a County Creameries(MCC) has established an automated milk dispensing point in Murang'a Town.Residents now have access to quality and fresh milk at affordable prices.The initiative will be rolled out in other towns.Upon a load up with coins the machine dispenses milk that resonates with the amount topped in.This is one of the approaches that MCC is employing to boost its customer base and fetch more proceeds for the farmers.The CountyGovernment of Murang'a is committed towards supporting Cooperative movement in empowering farmers and other players in the micro enterprises.Have a blessed weekend.

PHOTO FILE (customers being served at the MCC automated milk dispensing point in Murang'a Town)

MCC milk dispensers!

11027127_511341685683530_5030147738619779943_n.jpg

11935073_511341702350195_3977430157167098675_n.jpg

11866402_511341389016893_4157152261290627208_n.jpg

11873416_511341455683553_9110901436029530924_n.jpg

AND IN OTHER NEWS MACHAKOS GOVERNOR ALETA MAJI KWA NYUMBA ZOTE KWA KAUNTI YAKE YA MACHAKOS VIJIJINI!!!

Water to households at Syonamu village and Primary School in Kawethei, Kangundo Sub-County is now a reality.
I visited a humble homestead in the village which already has tapped water and a functional shower. The shower fitted in a brick-walled bathroom has offered a change in lifestyle to the humble family. This is in line with my Maendeleo Chap Chap ideology which aims to transform the lives of Machakos County residents.
Leadership is about Walking the Talk and serving mankind.

11062099_495851943897752_5658870200717288042_n.jpg

11855680_495852097231070_8824870877226048210_n.jpg

11836807_495852127231067_8171181898829925525_n.jpg

11230966_495840237232256_6030813046289117705_n.jpg

11800136_495840613898885_2041115672074174891_n.jpg

11230647_495841363898810_6583023629169095799_n.jpg

Yesterday I toured Kimutwa, Kakuyuni and Kawethei to inspect on-going tarmacking of the markets and meet Wananchi. I am pleased with the work being done to make Machakos County dust-free.
We are on a mission to create an enabling environment for our small traders for them to compete with the big businesses.

11825585_495794867236793_1125149593260125634_n.jpg

11855732_495794647236815_9097077675439030365_n.jpg

11012883_495590333923913_7768935296838111250_n.jpg

11813474_495590780590535_7286628832306396829_n.jpg

11138688_495590967257183_1859157742630767532_n.jpg

Last edited by waltham; 22nd August 2015 at 00:08.​
 
haya ni baadhi ya matokeo ya katiba mpya kupeleka pesa na mamlaka mashinani kwa wananchi kupitia serikali zao za kaunti!!!

BAADA YA MACHAKOS COUNTY SERIKALI ZA KAUTI mbali mbali ZINAJITAHIDI KUINUA SEKTA YA AFYA hATA KAMA BAADHI YA VIONGOZI KATIKA SERIKALI KUU WANAKUPIGA VITA UGATUZI!!!

Kwani unahitaji Katiba mpya ili uweze kujenga Hospitali?
Halafu isitoshe sijasema kwamba Katiba ya Kenya ni mbaya au haina manufaa yoyote kwa nchi ya Kenya, bali nilichosema ni kwamba ni Katiba nzuri sana lkn kwa nchi changa za Kiafrika ambazo bado hata hazijaweza kujenga Taifa itawasumbua sana!

Siku moja utakuja kuja shahidi yangu, ni mwiko kabisa kwenye nchi changa kama zetu zakiafrika kuondoa madaraka ya Raisi, hilo ni kosa kubwa sana nakumbuka Raisi Moi aliwaonya Wakenya sana kwenye hili lkn siku moja mtakuja kumuelewa!
 
HUWEZI UKAELEWA KWAni historia ya kenya hauna ndipo ata post yako haina ukweli!!!
mamlaka na rasmali kwa katiba nyingi afrika yapo katikati yaani centralized including tanzania!! ndipo katiba mpya kenya wananchi wakaomba raslimali na mamlaka yaletwe mashinani bila visingiti katikati. tukapata ngavana na raslimali zote na bunge katika jimbo la ugatuzi na mawaziri wa utekelezaji mashinani!! hapo awali nairobi ilifanya uamuzi kwa kiwamgo kikubwa kuhusu wananchi kwani rais na serkali kuu ilihifadhi hela na mamlake ya hizo hela!! kwa hivyo ukhitaji kujenga hospitali na barabara katiba awali na nyingi katiba africa zilivyo ni central govt.
kwa sasa ni tofauti ni wananchi wanatengeza budget inajadiliwa hapo hapo kwa bunge la kauti na inajengwa bila nairobi!!

OFFICIAL LAUNCH OF ROAD EQUIPMENTS BY THE GOVERNOR HON. ALI HASSAN JOHO TOGETHER WITH COUNTY EXECUTIVE TRANSPORT & INFRASTRUCTURE HON. TAUFIQ BALALA AND OTHER OFFICIALS.

11866502_870587776355777_2868821318447278222_n.jpg

11218172_870587396355815_7310162004209612726_n.jpg

11866206_870587503022471_2948603369187733171_n.jpg

11892183_870587339689154_846747796646414332_n.jpg

kabla ukilitimba wa katiba ya awali na centralized resourse disbursement zimfikie watoto kama hawa ilikuwa kama ndoto kusubiri kwa mwaka na mikaka. angalia baada ya katiba mpya mabadiliko!!

11231804_1686773034890742_2062881373215891482_n.jpg

mfano tu!!

11987211_1684233898477989_4097325358383720497_n.jpg

11702873_1681230355445010_1415406497785456249_n.jpg

11949404_1681230498778329_6145624115232002388_n.jpg

11046253_1681230715444974_8468732859741937899_n.jpg

11949404_1681230498778329_6145624115232002388_n.jpg

11951817_1681255532109159_4600850374849837989_n.jpg

10620596_1681254865442559_1248028857223457847_n.jpg

11215522_1682013922033320_7244214100154901279_n.jpg
 
Aiseee! Nilidhani watu wa Sampuli yako wanaoendelea kufikiria juu ya inferiority ya Waafrika mmeisha, kumbe bado mpo??,,,, Hatuhitaji viongozi imara, tunahitaji taasisi imara...Taasisi zitakazoweza kusimamia katiba kwa utimilifu wake.. Sio taasisi legelege vunjakatiba kama ya ccm.. Pia jamii hubadilika kutokana na wakati, na kwa sababu maoni yaliyopelekea kutengeneza katiba hiyo ni Wananchi Wa Kenya, basi ni sahihi kabisa kwao kuwa na katiba hiyo.. Otherwise unataka kujenga hoja ya kuendelelea kutetea katiba pandikizwa ya ccm.

Wewe umecram tu maneno.
Ofisi ya Rais pia ni taasisi kiaina, au hilo hulijui?
 
Nalijua hilo Msemakweli, ndio maana tunakuja. Kugundua kwamba Taasisi hiyo ya Rais ikiwa dhaifu, katiba haitatekelezeka maana yeye ndiye Top Executive, sasa kwa wenzetu Kenya tunaona kama wanakumbwa sana na matatizo lakini kwa upande wa pili wanapiga hatua kubwa sana kimaendeleo... Kwa upande wetu hata kama JK angekubali katiba ipite tusingeenda mbele kwa sababu Taasisi ya Urais itaendelea kuwa dhaifu chini ya ccm, wakishashiba wanasahau wananchi wao.. Poor Us
 
Nakubaliana na wewe. Katiba ya Kenya naikubali sana na imeleta maendeleo sana tu. I just thought you used that quote out of context.
 
Nalijua hilo Msemakweli, ndio maana tunakuja. Kugundua kwamba Taasisi hiyo ya Rais ikiwa dhaifu, katiba haitatekelezeka maana yeye ndiye Top Executive, sasa kwa wenzetu Kenya tunaona kama wanakumbwa sana na matatizo lakini kwa upande wa pili wanapiga hatua kubwa sana kimaendeleo... Kwa upande wetu hata kama JK angekubali katiba ipite tusingeenda mbele kwa sababu Taasisi ya Urais itaendelea kuwa dhaifu chini ya ccm, wakishashiba wanasahau wananchi wao.. Poor Us

katiba ya kenya ya awali kama hiyo ya Tz rais alikuwa mungu mdogo all powerful, and that was part of the problem. disburse powers to different focal points and institutions and put checks and balances and everything will be ok. na sisemi president ni powerless shinda africa rais ni mungu mdogo. ukiwa rais mfuata sheria nobody will bother you kama huyu wetu wa kenya hafuati katiba. anakataa kutekeleza uamuzi wa mahakama nayo katiba inasema rais akikaidi aweze kufunguliwa mjadala wa impeachment bungeni. hat a hivyo mlengo wa rais ni wengi bungeni hatoendi nyumbani lakini tutakuwa tumemkumbusha manjukumu kwani ana majority mps mbunge au kama vile wakenya wanawaida Mpigs!!!
 
Back
Top Bottom