Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
Wafia ndoa watajaza hapa;
Mie nshajituliza kwa mwana siasa
Masharti ni kupumzika siku nne ndani ya kila mwezi;
wana jamvi wenzangu mi naomba tutengeneze hiki kitu ili Ituongoze na ipunguze migogoro majumbani...Naanza
1.Ndoa isiwe pingu za maisha bali iwe kwa awamu km vile uraisi na ubunge,namaani-sha kila anavyochaguliwa rais mpya nawe oa au olewa na mwingne
2.Tendo la ndoa litafutiwe sara maalum ili kabla watu hawajaanza kufesibuka wasali kwanza.Hii itapunguza kuzaa watoto vilaza
3.mahali itolewe na wanawake pia
4.......,
5.....
6........
endelea...
Ile imechakachuliwa sana!! ndo maana nimeomba tuunde mpya
anamaanisha chama
kuwe na kifungu cha kufananisha mapenzi na sheria za mpira kama ifuatavyo; 1.kwenda kwa demu bila ruhusa yake ni OFF SIDE 2.Kutongoza manzi na kupiga siku hyo hyo ni FREE KICK
kuwe na kifungu cha kufananisha mapenzi na sheria za mpira kama ifuatavyo; 1.kwenda kwa demu bila ruhusa yake ni OFF SIDE 2.Kutongoza manzi na kupiga siku hyo hyo ni FREE KICK
hahahaaaa!!hii kali
nijipitie zangu mie
unjipitia kwenda wapi nikufuate .?