Katiba Mpya ya Tanzania itasaidia namna Viongozi wanatakiwa kufuata Sheria

Katiba Mpya ya Tanzania itasaidia namna Viongozi wanatakiwa kufuata Sheria

Joined
Aug 5, 2019
Posts
64
Reaction score
93
Inawezekana kabisa tukafanikiwa kuwa na #KatibaMpya na bado maji safi na salama, barabara nzuri, huduma za afya nzuri na mengineyo visiwepo ila haihalalishi tusiwe nayo kwasababu Katiba imekaa kimamlaka na itasaidia ku-shape namna viongozi wanatakiwa kuenenda kwa kufuata sheria.
 
Faida ya katiba mpya ni hii hapa

B07D7DB8-89CC-40D8-890A-3C6757736D31.jpeg
 
Inawezekana kabisa tukafanikiwa kuwa na #KatibaMpya na bado maji safi na salama, barabara nzuri, huduma za afya nzuri na mengineyo visiwepo ila haihalalishi tusiwe nayo kwasababu Katiba imekaa kimamlaka na itasaidia ku-shape namna viongozi wanatakiwa kuenenda kwa kufuata sheria.
Lakini Oktoba 2018, mwenyekiti huyo alisema “tulivamiwa na aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya bila kufuata utaratibu akatukamata akatuweka ndani kwa saa 48 bila kuhojiwa jambo lolote na mali za WSF zikachukuliwa.”
Na nunukuu gazeti la mwananchi. Kiukweli sheria zetu ziko nyuma sana. Nyingi ni kama vile zinashughulika na stage ya 1960 - 1980 kimaisha (very very outdated). Mfano huu serekali yenyewe kukomolewa na wajambazi iliowaweka madarakani.

Mkuu wa wilaya haina haja ya kuwa na uwezekano wa kumueka mtu ndani, hii kazi sio ya kisiasa ni ya jeshi la polisi na mahakama kushughulika na uhalifu na kutoa adhabu. Sifahamu ni kwanini mkuu wa wilaya ana madaraka ya kueka watu ndani bila ya mahakama.
 
Back
Top Bottom