Advocate_Silayo
Member
- Aug 5, 2019
- 64
- 93
Inawezekana kabisa tukafanikiwa kuwa na #KatibaMpya na bado maji safi na salama, barabara nzuri, huduma za afya nzuri na mengineyo visiwepo ila haihalalishi tusiwe nayo kwasababu Katiba imekaa kimamlaka na itasaidia ku-shape namna viongozi wanatakiwa kuenenda kwa kufuata sheria.
Na nunukuu gazeti la mwananchi. Kiukweli sheria zetu ziko nyuma sana. Nyingi ni kama vile zinashughulika na stage ya 1960 - 1980 kimaisha (very very outdated). Mfano huu serekali yenyewe kukomolewa na wajambazi iliowaweka madarakani.Lakini Oktoba 2018, mwenyekiti huyo alisema “tulivamiwa na aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya bila kufuata utaratibu akatukamata akatuweka ndani kwa saa 48 bila kuhojiwa jambo lolote na mali za WSF zikachukuliwa.”