kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Huyu mama ameshajua wapi panavuja kwenye Katiba yetu, kama Rais mwanamke lazima hataacha kero ya Katiba hivihivi. Kinachotakiwa ni watanzania kumpa moyo, utulivu na mazingira ya kuandika katiba mpya kabla hajamaliza kipindi chake.
Kuna mazingira yanaweza kusababisha hata Rais mpole awe mkali na kuonekana dikteta. Mazingira hayo ni kama watu wataonyesha vitu ambavyo vinatishia muungano. Ili kurahisisha kazi ya kuandika katiba mpya aina ya muungano isiguswe hata kidogo maana hata yeye hana uhakika kama muungano wa serilali moja au tatu utazidi kuimarisha muungano au la, maana aina hii ya serikali mbili ni "present is known and secure".
No election no reforms.