Katiba mpya

Katiba mpya

Keneth

Senior Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
195
Reaction score
47
Katiba inayokuja ingeweze kugusia mambo muhimu sita tu

Ardhi,
Madaraka ya Rais,
Madaraka ya wananchi,
Ulinzi na usalama
Uchumi bora
Elimu
 
KAKA umesahau ajira tena? kauli mbiu ya CHADEMA 2015 ni (MORE MONEY IN THE POCKET)
 
Katiba mpya inatakiwa ionyeshe wazi ni kwa jinsi gani kiongozi fisadi atakavyowajibishwa, mamlaka ya mwananchi kwa kiongozi ambaye si mchapa kazi, isimamie ipasavyo haki ya mnyonge hususa vyombo vya dola ambavyo kwa sasa vinaonea sana raia. Mwisho katiba hii ifundishwe darasani kama masomo mengine kuanzia shule ya msingi hadi vyuoni, walau itasaidia kuondoa umbumbu kwa wananchi wetu, hii ni haki ya msingi kila mtanzania kuielewa katiba ya nchi yake maana katiba ni ya watanzia wote s4 ya kundi fulani tu.
 
Back
Top Bottom