Katiba mpya inatakiwa ionyeshe wazi ni kwa jinsi gani kiongozi fisadi atakavyowajibishwa, mamlaka ya mwananchi kwa kiongozi ambaye si mchapa kazi, isimamie ipasavyo haki ya mnyonge hususa vyombo vya dola ambavyo kwa sasa vinaonea sana raia. Mwisho katiba hii ifundishwe darasani kama masomo mengine kuanzia shule ya msingi hadi vyuoni, walau itasaidia kuondoa umbumbu kwa wananchi wetu, hii ni haki ya msingi kila mtanzania kuielewa katiba ya nchi yake maana katiba ni ya watanzia wote s4 ya kundi fulani tu.