Kwa Mtazamo Wangu, Naona Ni Bora Tukawa Na Serikali Moja; Yaani Zanzibar Iwe Mkoa. Ikishindikana Kuwa Na Serikali Moja, Basi Hatuwezi Kukimbia Serikali Tatu, Yaani Serikali Ya Tanganyika, Zanzibar Na Ile Ya Jamuhuri Ya Muungano.
Sijui Wenzangu Mna Maoni Gani Juu Ya Swala Hili.