Katiba mpya ni muhimu: angalizo, mapungufu ya ktb yetu ya sasa tiunayajua?, supose hii mijamaa ikikaa chini na kubadiri rangi ya katiba ya sasa na kutuletea wakidai ndo katiba mpya, shall we have any base for argument. Ushauri wangu: kama tunaenda kwenye mhakato wa katiba mpya basi wapigakura waelimishwe juu ya katiba.