Katiba mpya

Katiba mpya

Kivia

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
278
Reaction score
32
Wa tz, amkeni tudai katiba mpya. Bila katiba tusitegemee mabadiliko yoyote ktk chaguzi zetu.
 
It is high time we as the wananchi stand up together and help shape the new katiba set up,vinginevyo the tanzania's downfall is close although Tanzanians will also be the architects of our own demise with a wretched passiveness!
 
we will not be short on spirit and endeavour untill the new katiba is on!
 
Katiba mpya ni muhimu: angalizo, mapungufu ya ktb yetu ya sasa tiunayajua?, supose hii mijamaa ikikaa chini na kubadiri rangi ya katiba ya sasa na kutuletea wakidai ndo katiba mpya, shall we have any base for argument. Ushauri wangu: kama tunaenda kwenye mhakato wa katiba mpya basi wapigakura waelimishwe juu ya katiba.
 
Sasa tunahitaji katiba mpya. Si suala la CCM au CHADEMA tu. Ni suala la Tanzania. Ni wakati wa kujijengea uwezo wa kuchukua hatua kuhusu maslahi yetu. Nashauri pia tusitumie muda mwingi kujibizana na wale wanaopinga na wataopinga harakati hizi. Najua watajitokeza soon lakini tusiwe diverted kutoka katika wazo hili. Hivyo tusijibizane nao. Wakati huo huo tujitahidi kupata habari kuhusu udhaifu wa katiba ya sasa ili tuwe na hoja pia. Mimi nataka katiba mpya. Naihitaji sana.
 
There is a need to amend if not to change the whole constitution of united republic of Tanzania so as it can adopt the modern world of rule of law.The whole system under the present constitution is absolutely roten and very corrupt,so the ammendment is necesary for the best interest of justice and rescue this country from few hands of big fish eaters
 
Do you know the rationale behind for big fishes/rulling system avoiding to ammend the constitution?
 
Wa tz, amkeni tudai katiba mpya. Bila katiba tusitegemee mabadiliko yoyote ktk chaguzi zetu.

Tanzania yetu wanaionea Baba wa taifa alisema kijana wetu Tanzania inafaa abadilishe suti imesha mbana wasiyotaka katiba mpya hata wao hawajipende
 
Back
Top Bottom