Hell is real
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 204
- 364
Habari wakuu, leo nimewaza na kufikiria sana,tunapodai katiba mpya watu wanasema ni upinzani ndo wanashida na katiba, lakini ukweli upo wazi hata CCM wenyewe katiba hii itawaumiza sana ,rais magufuli pamoja na wapambe wake,( polepole, kabudi, kakurwa, na wengineo) walisema sio kipaombele chao, madhara yake imemzaliSha rais mwanamke Naye anataka kutumia udhaifu wa katiba hii kuendelea kutawala, na atakuwa rais atakayetawala kwa mda mrefu!! Hivyi Bashiru anajisikiaje?????