Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Jitokeze kujiandikisha ewe mtanzania mwenzangu na mwisho kupiga kura ya ndio wakati utakapowadia ili tupate katiba bora kwa mustakabali wa taifa letu,jiunge na wapenda amani na mshikamano waliopo sehemu mbalimbali hapa nchini kwa kupiga kura ya ndio wakati ukifika,tanzania kwanza