Mheshimiwa Magufuli itakuwa ni kiongozi au tuseme raisi wa mwanzo kupata nafasi ya kuiongoza Tanzania hadi pale waTanzania watakapomtaka apumzike kutokana na uzee, ila uzee dawa anaweza kuendelea hadi kifo chake.
Sababu kubwa ni kuonekana kwa mwangaza wa mafanikio hapa nchini haswa katika utendaji na usimamiaji wa waliochini yake kikamilifu, makosa yanayoitokeza ni za kibinadamu na zinaweza kuwepo kwa yeyote yule, hata mitume walikuwa na kasoro zao ambazo ni za kibinadamu ambaye sie mkamilifu.
Magufuli ameweza kuwawezesha viongozi wengine, hadi viongozi hao kuchukua hatua za kujiamini kabisa na kutekeleza majukumu yao nao kwa waliochini yao bila ya kuona huyu ni mjomba au shangazi au rafiki.
Sasa kuna watu walee waliozoea tawala zilizopita za Tanzania ni njema kila aibae aibe, shamba la bibi na babu, wazoefu hawa ndio wanaosema katiba itakuwa inavunjwa, waongo wakubwa hawa.
Katiba inavunjwa ikiwa na kama jambo linalotaka kufanywa ni baya na halina mustakibali muzuri, hapo tunaweza kupaza sauti na kupiga makelele wakubwa na wadogo kuwa mnavunja Katiba.
Sasa Rais tuliye naye ni lulu ya Afrika na hajaonyesha makosa makuubwaaa ya kuwafanya wananchi wake wapige makelele, huyu anatufaa na tuende nae. Hizi shida za maisha za hapa na pale ni za kupita kwani tunapokwenda huwezi kufika ikiwa umeshiba.
Wewe unaepinga huna sababu za msingi unataka tuweke raisi mkenge, ili wachache waanze tena kujikusanyia vyeo na kujikatia mapande ya ardhi. Hki changu, hiki nakitaka viongozi ambao wamekosa nafasi katika awamu hii ya Magufuli.