Kwa hiyo vyama vya siasa vina nia mbaya kwa akili yako?Katiba inavunjwa ikiwa na kama jambo linalotaka kufanywa ni baya na halina mustakibali muzuri,hapo tunaweza kupaza sauti na kupiga makelele wakubwa na wadogo kuwa mnavunja Katiba.
Suali zuri sana na mfano kwa wale vichwa mchungu,vyama havina nia mbaya vipo kwa ajili ya kulitumikia Taifa hili ikiwa watafanikiwa kufikia kiwango cha kuwa chama tawala,shida kubwa mliyonayo wafuasi mnafananisha mbuni na njiwa au ndege arukae,mna ushabiki wa kimichezo, mnaona kuongoza nchi sawa na kuongoza timu ya mpira.Kwa hiyo vyama vya siasa vina nia mbaya kwa akili yako?
Hii kawadanganye watu wa kijijini kwenu !!Suali zuri sana na mfano kwa wale vichwa mchungu,vyama havina nia mbaya vipo kwa ajili ya kulitumikia Taifa hili ikiwa watafanikiwa kufikia kiwango cha kuwa chama tawala,shida kubwa mliyonayo wafuasi mnafananisha mbuni na njiwa au ndege arukae,mna ushabiki wa kimichezo, mnaona kuongoza nchi sawa na kuongoza timu ya mpira.
Vyama viliopo bado ni vichanga sana na tunaona mizozo ndani ya vyama vyao hata bado hawajafikia au kukomaa kiiutawala,kuongoza nchi sio jambo la kubahatisha na miongozo iliyojaa utongozaji kuwashawishi wananchi,mnaweza kushinda uchaguzi nchi ikawashinda ndani ya miezi mitatu tu,hivyo tulieni kwa hapa tulipo ngazi za ubunge zinawatosha vyama vya siasa hivi vipya lakini kupewa nchi kuongoza bado sana.
Kusema tu madhila yote,shida zote,nani kakosoa serikali akatekwa nani,sasa wewe ukikosa ushahidi ukaenda kufungwa utasema umeonewa,haya mambo ya kuzua zua ndio mnaishia kufuata njia Wrong Turn,Inaumiza Sana kuwa na watu wa aina yako pamoja na kuona ubaya wa viongozi wa afrika kutawala muda mrefu bado Kuna wanafiki wa aina yetu Yani pamoja na madhila yote aliyoyaleta JPM bado unataka aendelee kutawala milele imagine Leo hii kweli ukiongea kuikosoa serikali unatekwa unabambikiwa makesi nk uonevu mkubwa watumishi wanakiona Cha moto bodi ya mikopo inaumiza wafanyakazi bado unataka JPM aendelee kutawala milele let alone CCM dah we jamaa wewe ulaaniwe.