Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jizi limefurushwaGachagua mtekelezaji wa Katiba ya Kenya ni mzaha
sio rushwa tu bali kuna ukabila mbaya sana,kiasi ambacho hata katiba inapindishwa kwa ukabilaNdugu zetu Kenya walipata katiba Mpya mwaka 2010.
1. Haki na wajibu zimeainishwa vyema, kuanzia Preamble mpaka kila ibara (japo by implications wanaruhusu 🌈 maana sheria inasema ndoa Ni muunganiko wa watu wawili bila kusema jinsia zao).
2. Rais kapunguziwa madaraka, yamepelekwa Kwa Wananchi kupitia bunge/seneti. Ila rushwa ndo inaongoza kuliko katiba eg. Kuwaengua magavana madarakani Kwa kakosa ya matumiz mabaya ya ofisi (maseneta wanapewa rushwa tena na kugeuza matokeo).
3. Ukubwa wa serikali uliongezeka (kutoka majimbo/provinces 5 mpaka kaunti 47=wage bill kubwa. .. more taxes should be collected).
4. Rushwa/wizi kuanzia ngazi za juu mpaka mfagizi.
NB: uteuzi unapitia bungeni ambao bado ni siasa zinachezwa -makada (toka makabila ya Rais na Naibu Rais ndio wanalamba Asali badala ya sifa stahiki.
**Usawa wa kijinsia 50/50 Ila miaka 14 baadae hawajafika hata 25%
Weka Mia biri hapa usonge 🤣🤣🤣Ila kenya kuna rushwa na inadaiwa kwa lazima
Gachagua Kwa sasa anajifurahisha tuWeka Mia biri hapa usonge 🤣🤣🤣