Katiba pendekezwa,nimejifunza kitu!!!!!

Katiba pendekezwa,nimejifunza kitu!!!!!

mwakweya70

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
414
Reaction score
106
Siku zote nimekuwa nikijiuliza kwanini watu wanaamua tu kupinga katibapendekezwa!kumbe wengine ni vibaraka tu wala hata hiyo katiba yenyewe hawajaisoma!inakuwa Kama shabiki wa timu ya mpira ambayo hata majina ya wachezaj Huyajui!huu ni ubabaishaji!KURA YA NDIYO KWA KATIBA PENDEKEZWA!!!!!
 
HAHAHAHAH KWELI KAKA TENA WAKO WENGI KUNA AKINA HAWA HAPA, PRESIDENT ELECT, MWAKABOKO, TYTA a.k.a, TETTY, MTK, MWALLA, MMANU, na wengine wengi sana HAWA WOTE WAMETUMWA KUHARIBU MCHAKATO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
 
  • Thanks
Reactions: mge
HAHAHAHAH KWELI KAKA TENA WAKO WENGI KUNA AKINA HAWA HAPA, PRESIDENT ELECT, MWAKABOKO, TYTA a.k.a, TETTY, MTK, MWALLA, MMANU, na wengine wengi sana HAWA WOTE WAMETUMWA KUHARIBU MCHAKATO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Aise Hapo ni sawa na kukata tawi la mti huku umelikalia
 
Back
Top Bottom