mwakweya70
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 414
- 106
Siku zote nimekuwa nikijiuliza kwanini watu wanaamua tu kupinga katibapendekezwa!kumbe wengine ni vibaraka tu wala hata hiyo katiba yenyewe hawajaisoma!inakuwa Kama shabiki wa timu ya mpira ambayo hata majina ya wachezaj Huyajui!huu ni ubabaishaji!KURA YA NDIYO KWA KATIBA PENDEKEZWA!!!!!