Naona umetoka nduki ama utakuwa unamwachia mwenzio lindo. Maana mmekuwa wazee wa lindo humu jf, mnapishana kama daladala hahahaha hapana chezea njaaaaaaaa wewe
nani kakudanganya kuwa Mbowe na Slaa ni viongozi wangu? Weee hao ndo maboss wako walokutuma na ni wachumia matumbo na wapenda vyeo namba moja na ndo mana hawafanikiwi hata cku moja, wameng'ang'ana kweny viti toke miaka ya 90 na kitu ctowaheshimu wachumia matumbo kama hao hata cku moja tena kawaaambie kabisa kuwa hao ni vilaza na vipopoleo wanaopoteza muda wao

Sitojali uko zamu ya kuingia humu jf mchana kiasi unahitaji mwenzio umwachie lindo la usiku mimi nakuchana live makavu nje nje mpaka utie adabu na uchelewe kutoka lindo
Leo nataka uachane kabisa na uchumia tumbo ndo mana nakutwanga kwa point tuuu, maana vijana wengi mmenunuliwa na Ukawa na kibaya wanawadanganya kuwa mtapewa na vyeo hahahahaha huyo dr. Slaa upadre wenye ulimshinda atauweza urais? Tamaa mbele mauti nyuma

Ndugu mimi nakuheshimu sana kwenye forum lakini cha kusikitisha unaonekana kupoteza mwelekeo. Unajadili Katiba Inayopendekezwa au mb na gb au tb. Be focused then we can continue with the discussion. I hpoe you have understood!Naona imekuumiza sana pole kwa hilo piga hesabu tangia asubuhi hadi sasani mb ngapi zimetumika? Pole sana kiongozi
Mpanju kajidhalilisha kwa kitu gani. Au wewe uelewa wako mdogo umeshindwa kuelewa nondo anazorusha. Hebu fuatilia mambo yake au mijadala yake utagundua kuwa anatoa pointi za maana sana. Au una lako jambo!:msela:Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia. Umelishwa maharage gani?
Akiwemo baba yako na ukoo wenu! Ndo upeo wa akili yako unavyokutuma hivo, ushindwe na ulegeeeKatiba pandikizi iliundwa na waimba mipasho
Naona mzee wa lindo umeingia kazini kusaka jero jero kama jana hahahaha njaa itakuua mwaka huu wewe dekio la chooniNdugu mimi nakuheshimu sana kwenye forum lakini cha kusikitisha unaonekana kupoteza mwelekeo. Unajadili Katiba Inayopendekezwa au mb na gb au tb. Be focused then we can continue with the discussion. I hpoe you have understood!
Mpuuzi wewe kwani madarak kitu gani, hao akina Mbowe makengeza wanakudsnganya mengi sana, na utatumikasana kama vocha vileEti leo nakutwanga point,point zipi? Za kuwatukana waliokuzidi umri,madaraka/ viongozi wako? Pole sana
Mchumia tumbo wewe mpe lindo mwenzio naye nimtwange makonde ya uso humu, maana muda wako umeshafika mpasie lindo mwenzakoAisee wewe kwa matusi,pokea salute mzee
Mimi na wewe aliyepo kikazi zaidi nani kama sio wewe tena uko lindo la jioni na asubuhi, unaingia kwa zamu kisa jero jero za akina Mbowe makengeza hahahaha njaa hiyo utakula mavi we kijanaPost count: 175
Others: jf member.
Ndio maana,kwani nilikuwa najiuliza mbona jamvi limevamiwa kumbe ni kweli.sikulaumu tena kwani upo kutekeleza majukumu yako.
Muda ufike marw ngapi hao maboss wako njaa zitawaua mwaka huu, ndoa yao imeshaingia shubiri, tokea miaka ya 90 hadi leo wanaforce king, pale sio chooni kama huko mlikozoea nyie wachumia matumbo wa Ukawa, pale ni mahala patakatifu mtaishia kupaona kwenye video tuuuu hahahahaMuda ukifika utawajua tu mkuu haina haja ya kuwa mbogo,tulia kwani ustaarabu hauuzwi dukani.
Lazima niiongelee maana inakuhusu kwasabu uko lindo la asubuhi na jioni, hivyo unaonyesha jinsi gani unavyohangaika kujibu hoja kisa jero jero za akina Mbowe makengeza na Slaa mapenzi.Mkuu njaa mbona unaiongele sana,hapa njaa ipo sijui kwako maana keki ya taifa mgawanyo haueleweki
Wewe sifuri tuu huna jipya sema njaa ndo inakusumbua humu ndo maana hukauki kila mda ilimradi upate jero jero na mb8 za ukawaTabia ya matusi ni malezi mkuu,nawalaumu sana hao waliokupa malezi ya kopo
Hiyo naona ni Katiba ya UKAWA lakini ya Tanzania inaitwa Katiba Inayopendekezwa. Halafu hiyo ya kwenu iliyopitishwa na watu wa mipasho inawezekana ni Jahazi Modern Taarab au Mzee Yusuph sio Katiba inazungumziwa kwenye forum hii. Naona uanzishe ukurusa uuite katiba ya mipasho na hapa utoke kabisaaa.Katiba pandikizi iliundwa na waimba mipasho
Mkuu inaonekana Msalagambo ni mlemavu wa fikra. Kwa hiyo usimuulize zaidi jibu liko wazi.Wait a minute tutambuane kwanza, msalagambo kwani wewe ni mlemavu wa kiungo kipi?!