Hujajibu swali langu wewe ni timu ya nani na ni ya wapi? Naona TEAM LUMUMBA ON DUTY unaipenda timu yako ndiyo maana unaisisitiza sana. Umdhaniye ndiye kumbe siye.
Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia. Umelishwa maharage gani?
Weka upuuzi wako lkn mwisho wa siku kura ya ndiyo kwa katiba hii haiepukiki, kwasabu unetumwa kwa malipo ya jero jero basi endelea kuwa mchumia tumbo..muulize 😛eep: au :mimba:foxy
Weka upuuzi wako lkn mwisho wa siku kura ya ndiyo kwa katiba hii haiepukiki, kwasabu unetumwa kwa malipo ya jero jero basi endelea kuwa mchumia tumbo..
MWALLA aka MWALLA4REAL KATIBA MPYA NI LAZIMA HATA KAMA UTAKUA UMEJIFUNGIA BUGURUNI WATU WATAPIGA KURA TU BADALA YAKO!!!! Tehe te teh teh teh ukibisha unakula View attachment 250275​YA MBAO!!!!!
MNAJIFUNGUA LINI HIZO:mimba:ZENYUUU???
[FONT="] Watanzania wote tufurahi na tufurahie nchi yetu tukisema: "Mungu Ibariki Tanzania, Dumisha Uhuru na Umoja, Wake kwa Waume na Watoto, Mungu, Ibariki, Tanzania na Watu Wake Ibariki, Tanzania, Ibariki, Tanzania, Tubariki, Watoto wa Tanzania" Huo ndiyo msingi wetu sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu.[/FONT]
kamuimbie mumeo akuongeze :mimba:nyingine
Mwalla unaumwa nenda hosipali hiyo mimba inakusumbua sana. Usiogope mwambie mumeo anajua matatizo yako vizuri kuliko waJF. Usitusumbue kwa mimba yako, mumeo anakzi gani mpaka unamsahau hivyo?
Una mimba ya Dr. Slaa wewe na Mbowe Makengeza, kajifungue kwanza maana unakelele utadhani mama mjamzito! HahahahahUMEMALIZA KUMUIMBIA MUMEO HIZO VOKO:majani7: ZAKO?
UMEMALIZA KUMUIMBIA MUMEO HIZO VOKO:majani7: ZAKO?
Mwalla wewe ni kiboko! Kila unachofanya unawajulisha wanaJF ujinga wako. Huo mchezo wa kumwimbia na kumcheze mumeo hualizi tuuu? Sasa kazi mtafanya lini?
mnajifungua lini hizo:mimba:zenyuuu???
mtalia sana mwaka huu na lazima nikupakate ...mbaffff weee
Unapinga kila kitu ndo maana avatar yako inaonyesha una miguu mirefu njaa zitakuua na jerojero za Buguruni unazopiga,goma linpita hilo ni kama mafuriko bonde la msimbazi.
- katiba mpya usipime haizuiliki ni kama jua linawaka tuView attachment 250925
SOMA RASIMU KWANZA AFU NDO UPITIE HIYO TOILETPAPER usijifanye hujaiona mburula weyee
View attachment 250942
View attachment 250956
Hi hi hi hi ha ha ha tehe te MWALLA aka MWALA4REAL utakua unaota ukiwa njiani kuelekea Buguruni yalipommakao yenu makuu Hivi hiyo paper ya babu bado mnayo hapo kwenu?maana ilishafungiwa maandazi ikaisha kabisa!!!! Kama bado unayo endelea kusupply mtaani tufungie mihogo na maandazi!
Hivi Amoni Mpanju, atasomaje ujumbe wako?