Katiba pendekezwa

Katiba pendekezwa

Hujajibu swali langu wewe ni timu ya nani na ni ya wapi? Naona TEAM LUMUMBA ON DUTY unaipenda timu yako ndiyo maana unaisisitiza sana. Umdhaniye ndiye kumbe siye.

muulize 😛eep: au :mimba:foxy
 
Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia. Umelishwa maharage gani?

Utakua mlemavu wa nanihii......... Wewe maana unavyoshoboka!!!hata kama una ulemavu huo utapiga kura yako ya NDIYO!!
 
muulize 😛eep: au :mimba:foxy

MWALLA aka MWALLA4REAL KATIBA MPYA NI LAZIMA HATA KAMA UTAKUA UMEJIFUNGIA BUGURUNI WATU WATAPIGA KURA TU BADALA YAKO!!!! Tehe te teh teh teh ukibisha unakula
image.jpg​YA MBAO!!!!!
 
MNAJIFUNGUA LINI HIZO:mimba:ZENYUUU???

Watanzania wote tufurahi na tufurahie nchi yetu tukisema: "Mungu Ibariki Tanzania, Dumisha Uhuru na Umoja, Wake kwa Waume na Watoto, Mungu, Ibariki, Tanzania na Watu Wake Ibariki, Tanzania, Ibariki, Tanzania, Tubariki, Watoto wa Tanzania" Huo ndiyo msingi wetu sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu.
 
[FONT="] Watanzania wote tufurahi na tufurahie nchi yetu tukisema: "Mungu Ibariki Tanzania, Dumisha Uhuru na Umoja, Wake kwa Waume na Watoto, Mungu, Ibariki, Tanzania na Watu Wake Ibariki, Tanzania, Ibariki, Tanzania, Tubariki, Watoto wa Tanzania" Huo ndiyo msingi wetu sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayoheshimu na kuzingatia misingi ya utu na udugu, uhuru, kujitegemea, haki, usawa, amani na utulivu, umoja na mshikamano katika nyanja zote za maisha yetu.[/FONT]

kamuimbie mumeo akuongeze :mimba:nyingine
 
kamuimbie mumeo akuongeze :mimba:nyingine

Mwalla unaumwa nenda hosipali hiyo mimba inakusumbua sana. Usiogope mwambie mumeo anajua matatizo yako vizuri kuliko waJF. Usitusumbue kwa mimba yako, mumeo anakzi gani mpaka unamsahau hivyo?
 
Mwalla unaumwa nenda hosipali hiyo mimba inakusumbua sana. Usiogope mwambie mumeo anajua matatizo yako vizuri kuliko waJF. Usitusumbue kwa mimba yako, mumeo anakzi gani mpaka unamsahau hivyo?

UMEMALIZA KUMUIMBIA MUMEO HIZO VOKO:majani7: ZAKO?
 
UMEMALIZA KUMUIMBIA MUMEO HIZO VOKO:majani7: ZAKO?

Mwalla wewe ni kiboko! Kila unachofanya unawajulisha wanaJF ujinga wako. Huo mchezo wa kumwimbia na kumcheze mumeo hualizi tuuu? Sasa kazi mtafanya lini?
 
Mwalla wewe ni kiboko! Kila unachofanya unawajulisha wanaJF ujinga wako. Huo mchezo wa kumwimbia na kumcheze mumeo hualizi tuuu? Sasa kazi mtafanya lini?

mtalia sana mwaka huu na lazima nikupakate ...mbaffff weee
 
mtalia sana mwaka huu na lazima nikupakate ...mbaffff weee

Unapinga kila kitu ndo maana avatar yako inaonyesha una miguu mirefu njaa zitakuua na jerojero za Buguruni unazopiga,goma linpita hilo ni kama mafuriko bonde la msimbazi.
 
Unapinga kila kitu ndo maana avatar yako inaonyesha una miguu mirefu njaa zitakuua na jerojero za Buguruni unazopiga,goma linpita hilo ni kama mafuriko bonde la msimbazi.

ubongo wako nimesema unasheeeeda tena kubwa!! napinga usanii wenu wa kutaka kuwapoteza wananchi na hiyo TOILETPAPER yenu ambayo hata chooni aka msalani haifai kwa matumiz nyie vigoli ndo mnataka kulazimisha wananchi waitumie hivyohivyo mnataka wachunike MAT....KOOOO???. HAYA nambie kingine ninachopinga?
 
image.jpg
SOMA RASIMU KWANZA AFU NDO UPITIE HIYO TOILETPAPER usijifanye hujaiona mburula weyee
View attachment 250942

Hi hi hi hi ha ha ha tehe te MWALLA aka MWALA4REAL utakua unaota ukiwa njiani kuelekea Buguruni yalipommakao yenu makuu Hivi hiyo paper ya babu bado mnayo hapo kwenu?maana ilishafungiwa maandazi ikaisha kabisa!!!! Kama bado unayo endelea kusupply mtaani tufungie mihogo na maandazi!
 
View attachment 250956

c nilisema utazuga tu we jifanye hamnazo lkn ipo siku utaongea tu hata kwa bakora utasema tu. angalao ya wananchi inaheshimika kuliko yenu hata chooni haitakiwi.. ptuuuuu
 
Back
Top Bottom