MSALAGAMBO
Member
- May 6, 2014
- 12
- 8
Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia. Umelishwa maharage gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wait a minute tutambuane kwanza, msalagambo kwani wewe ni mlemavu wa kiungo kipi?!Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia. Umelishwa maharage gani?
Kala maharage mpaka nasikia imemwadhiri macho.Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia. Umelishwa maharage gani?
Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia. Umelishwa maharage gani?
Huyu Amon anaendeshwa kwa remote na ndio maana haishi kuonekana ktk korido za kinondoni bomani
Weka picha yake japo moja tu akiwa Kinondoni kwenye korido si umesema haishi kuonekana pale hata leo umemuona tupia hapa tuone!
Utapata picha,ingawa sikuwa na nia ya kufika huko
Nataja justification ili nione kweli kama haishi kuonekana kwenye korido za Kinondoni ina maana hata leo umemuona pale ili nithibitishe pasipo shaka kuhusu jambo hilo,Afu mtoa mada afanye marekebisho ni KATIBA INAYOPENDEKEZWA 2014
Kwa kuwa umenitaka nitupie ka picha namgojea aje tu hapa boma
Weka maneno wewe picha nani kwakwambia tuko studio hapa? Kama huna hoja pumzika wapishe watu waelimishaneKwa kuwa umenitaka nitupie ka picha namgojea aje tu hapa boma
Jero jero za Ukawa zinawapa kiburi kweli maana mnatumika kama mifagio ya vyoo vya kilabuni kwa waleviKala maharage mpaka nasikia imemwadhiri macho.
Aje kwani kakwambia anakuja ili umpige hiyo picha? Au Ukawa ndo wamekuagiza ufanye hivyo? Kwanini ugeuzwe kuwa jini wa kutumwatumwa?Kwa kuwa umenitaka nitupie ka picha namgojea aje tu hapa boma
Jero jero za Ukawa zinawapa kiburi kweli maana mnatumika kama mifagio ya vyoo vya kilabuni kwa walevi
Wewe mlemavu gani wewe acha uongo yani hizo ndo style mlizopewa na Ukawa kujipretend kuwa we ni mlemavu, hahahahah endelea kupiga jero jero lkn mwisho wa siku katiba hii haiepukiki ni ndiyoooo maana imejali oila mtu hata wewe unaejifsnya mlemavu tena hujafa hujaumbika kama unahitaji hiko kilema basi utakipata tuu.Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia. Umelishwa maharage gani?
Aje kwani kakwambia anakuja ili umpige hiyo picha? Au Ukawa ndo wamekuagiza ufanye hivyo? Kwanini ugeuzwe kuwa jini wa kutumwatumwa?
Wewe umekamia ndani humu tokea alfajiri kisa jero jero unazopewa na Ukawa kwa kupinga mambo mazuri, hahahah endelea maana mimi nimeingia mda si mrefu lkn nimekufstilia unaonekana uko humu tokea asubuhi mnapishana tu we na wachumia matumbo wenzioNaona umeamua kulipa posho ya lumumba kwa kishindo ili kesho siku iingie
Jero jero za Ukawa zinawapa kiburi kweli maana mnatumika kama mifagio ya vyoo vya kilabuni kwa walevi
Njaa itakuua wewe yani hata hujionei huruma, badala ya kusoma wewe unakomaa na kazi ya kipuuzi ulopewa na Ukawa, utalishwa mavi na akina mbowe wewe shauri yakoWewe ndio umeanza viroba wakati wenzio wamestaafu? Pole sana
Ebu angalia hata kusoma uoikimbia umande tusi liko wapi hapo? Au unaoota? Tatizo umekodolea mimachomhiyo simu tokea asubuhi hata kupumzika hutski kisa kazi ya UkawaWewe mkuu naona umeingia kwa speed ya jet kwa matusi,nani kakudanganya kuwa ukitukana matusi jf ndio chama kinapanda chat?