Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 588
- 648
Amon Mpanju, mbona unajidhalilisha kiasi hicho! We umekuwa na weledi kushinda wajumbe wa tume ya Jaji Waryoba. Kwa taarifa yako hata sisi watu wenye ulemavu tunakushangaa na kukusitikia. Umelishwa maharage gani?
Post yako nadhani inafanana na uwezo wako wa kufikiri....inaelekea humjui Amon Mpanju vizuri na hujui ana nafasi Gani kwa walemavu nchini....usitake kuchonganisha hili kundi na viongozi wake.....watu wenye ulemavu wamefanya jitihada sana ndani ya bunge maalum la katiba kuhakikisha wanatambulika rasmi na kupinga rasmi unyanyapaaji,,,,,Mpanju amekuwa akialikwa kwenye makongamano mengi sana yanayoandaliwa na WAtu wenye. Ulemavu na washirika wake.....tumemuona Morogoro, Dar.....na sehemu nyingine nyingi tuu.....na amekuwa akipata support kubwa sana kutoka kwa watu wenye ulemavu.......Naingiwa na wasiwai wewe uliyepost hii kitu ni mmoja ya watu wenye kuua albino....hivyo unaona utabanwa hence unataka kushawishi watu kwa ujinga na akili ndogo zilizo kichwani kwako bila kutambua unapata dhambi....WE NI SADIST unayependa kuona watu wenye ulemavu wanaendelea kuteseka kwa maslah yako binafsi...Nampongeza MWENYEKITI WA SHIVYAWATA Bw. AMON MPANJU kwa jitihada za kupigania haki za walemavu ndani na nje ya bunge maalum la katiba.........