Katiba tuliyonayo ya mwaka 1977 iliundwa na akina nani? Nilikuwepo lakini sikusikia tukio hilo

Ulikuwepo wakati nchi hii inaanza?mababu zetu walikuwa na katiba? Hili dubwana Katiba mnalolipigia kelele lilianza lini?
 
Sikubaliani na watu wanaoisema vibaya katiba kwa muktadha huo,kwa wakati ule ilikua inafaa but kutokana na maendeleo,mahitaji ya sasa,mabadiliko ya kisiasa,Flaws za muungano na utawala ndio inaonekana Haifai(hapa tupo pamoja)..

Walioipitisha katiba ya mwaka 1977 tuwasamehe excuses wanazo za kutosha,but sisi ndio hatuna excuse ya kukubali kuendelea kuongozwa na katiba ya mwaka 1977.
 
Ile kamati naikumbuka sana maana tuliimba tukiwa JKT.
Wjumbe 10 toka Bara na 10 toka Unguja.
Mwenyekiti akiwa mzee Thabit Kombo.
Tumtafute Mzee Pius Msekwa....na JajiWarioba tutajua mengi sana.....mnooo sanaa....!!! Siku tukiwpata na wakaongea basi tutajua mengi sana
 
Sikubaliani na watu wanaoisema vibaya katiba kwa muktadha huo,kwa wakati ule ilikua inafaa but kutokana na maendeleo,mahitaji ya sasa,mabadiliko ya kisiasa,Flaws za muungano na utawala ndio inaonekana Haifai(hapa tupo pamoja)..

Walioipitisha katiba ya mwaka 1977 tuwasamehe excuses wanazo za kutosha,but sisi ndio hatuna excuse ya kukubali kuendelea kuongozwa na katiba ya mwaka 1977.
ccm kwasasa kutoa katiba matumaini yanazidi kupungua
 
1. Wakuu wa mikoa na wilaya wachaguliwe na wananchi
2. Tume huru uchaguzi isiteuliwe na Rais
3. Majaji wasitruliwe na Rais
4. Baada ya Rais kuteua mawaziri, wapitishe na bunge.
5. Wakuu wote wa Taasisi, wasiteuliwe,wafanye mitihani kuwashindanisha
6. Wakuu wa vyombo vya ulinzi,waombe kaxi hizio na wapitishwe na bunge
 
ccm kwasasa kutoa katiba matumaini yanazidi kupungua
Tukizidisha nguvu watalegeza sababu sasa hivi kila mtu anaitaka hadi ndani ya CCM watu wanataka katiba,hata kama sio wakati wa samia but nna uhakika kabla kizazi chetu hakijatoweka katika uso wa dunia,katiba itapatikana
 
wanaotaka katiba ndani ya ccm ni watu wenye hofu ya zenji kupata nguvu isiyokua ya kawaida , kinachowafanya watake katiba huko ccm ni muundo wa muungano. neno tanganyika litasikika sana siku hizi​
 
Kwa tafsiri hiyo basi na kelele zetu za kutaka katiba mpya,wataleta katiba mpya na vipengele ambavyo still vita favor wao sio??..mfano mimi kwenye Rasimu ya warioba jambo ambalo nalitaka sana ni Hoja ya Mgombea binafsi,..hii ikipita jimbo la kinondoni au morogoro mjini mniachie mimi
 
  • Thanks
Reactions: Lax

mimi nachoamini hatuwezi pata yote yanayodaiwa kwa wakati mmoja, process ni ya taratibu taratibu
 
wanaotaka katiba ndani ya ccm ni watu wenye hofu ya zenji kupata nguvu isiyokua ya kawaida , kinachowafanya watake katiba huko ccm ni muundo wa muungano. neno tanganyika litasikika sana siku hizi​
Wakati huo huo ni faida kwa Wazanzibari ambao nao wanataka Zanzibar yao iwe sovereign state kama mwanzo ! Serikali tatu 😳 !
Hapo patamu !
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Nasikia ni Mzee Pius Msekwa na wenzake watano. Walifungiwa sehemu kwa muda fulani, baadaye ndiyo wakaja na hiyo katiba! Katiba imejaa mauzauza tu.

CCM huwaambii kitu kuhusu hii katiba. Kwa sababu iliundwa kwa ajili yao, badala ya wananchi na Taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom