Kabla ya kupigania katiba ya nchi, mimi
Bei Elekezi na ndugu yangu
Yericko Nyerere tunataka katika za vyamabvyetu vya siasa ziweke kipengele cha ukomo wa kiongozi wajuu ili mawazo mapya yapate nafasi.
Tunapendekeza kiongozi wa juu wa chama chochote cha siasa aongoze kwa miaka 5, akiongoza vyema apewe 5 tena, baada ya hapo apumzike awe mshauri tu.
Tuanze na katiba za vyama vyetu, then katiba ya nchi.
Ni mimi Mrusi wa Buza.