Katiba ya Chama chetu haifai na hatuna legitimacy kudai katiba mpya ya JMT

Katiba ya Chama chetu haifai na hatuna legitimacy kudai katiba mpya ya JMT

Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake.

Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea.

Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kug'oka.

Hatuna legimacy kudai katiba mpya.
Pakiwashinda kimbilieni CCM Bado wanaohitaji wanachama
 
Wenye akili dhaifu hupigania madaraka na umaarufu, wenye akili kubwa hupigania maendeleo na maarifa. Tupo tulipo sababu ya udhaifu wa akili zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa maana katiba ya chama inamtambua mwenyekiti kama mfalme au sultan maana hana ukomo
 
Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake.

Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea.

Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kug'oka.

Hatuna legimacy kudai katiba mpya.
Ngoja wajeje ntakunywa sumu juu yake!
 
Vijana wengi wanaenda msalani kupitia mfuko wa mwenyekiti wa chama, ndio maana ana uwezo au nguvu ya kufanya chochote anachotaka bila kupingwa japo wanaona kabisa anaharibu. Ukitaka kumuua nyoka mpige kichwani, na ukitaka kumiliki akili ya mwana chadema mnunulie bando, unga, viloba nk.
 
Kuna Sheria ya wanaoweza / wanaotakiwa kudai Katiba ?
 
Mwenyekiti kafanya madudu gani kamanda ukashindwa kumpeleka mahakamani umshtaki? hizi kelele zako huku it's very funny, na wajumbe wakiona hafai watamtosa tu hakuna haja kuweka kifungu kwa ajili hiyo.

Wajinga tu wenye njaa vichwani wanaoamini Mbowe kashika akili za watu kwa kuwapa unga wa ugali, wanajisahaulisha track record ya Mbowe kwenye siasa za upinzani Tz na yote aliyopitia.
 
Fikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake.

Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea.

Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kug'oka.

Hatuna legitimacy kudai katiba mpya.
Mpumbavu Asiyechoka.
 
Back
Top Bottom