Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,920
Kweli,kuna ulazima wa kufanya marekebisho ya ndani kwanza ili ikitokea imepatikana nafas ya kuongoza na nje yasijeyakajirudia ya sisi emFikiria kuwa na katiba ambayo inampa madaraka mwenyekiti kufanya chama kama mali yake.
Anafanya madudu hata kiasi cha kupiga madili na kumpa Lowassa gap la kugombea.
Anakaa madarakani mpaka anapoona hana ushawishi ndio anaamua kug'oka.
Hatuna legitimacy kudai katiba mpya.